NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

14May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Wazidi kutisha kileleni, ubingwa, kiatu njia nyeupe...
Mabingwa hao watetezi jana walirejea kileleni baada ya kufikisha pointi 65 sawa na Simba, lakini wakiwa na mechi mbili mkononi wakati mahasimu wao wakibakiza mchezo mmoja. Simon Msuva aliifungia...

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo.

14May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ndikilo aliyasema hayo juzi wilayani hapa wakati akihitimisha ziara yake katika wilaya sita za mkoa wa Pwani. Alisema migogoro hiyo haina tija baina ya makundi hayo mawili, hivyo hawapo tayari...

Baadhi ya mafundi wa TRL wakiwa kandoni mwa eneo la reli lilililoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika wilaya ya Muheza, Tanga, jana.
(Picha: Steven William)

14May 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
Safari hii, mvua hizo zinazoelezewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kuwa hazijawahi kurekodiwa tangu mwaka 1949, zimekata mawasiliano ya usafiri wa treni ya Shirika la Reli (TRL), ambao hutegemewa...

Abdi Banda.

14May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na gazeti hili jana, Banda alisema mbali na timu hiyo kutokuwa na uhakika wa kushiriki katika mashindano ya kimataifa mwakani, lakini atakuwa tayari kusaini mkataba mpya kama atalipwa...
14May 2017
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
• Mwenyewe aja juu, aanika msimamo...
Akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji bungeni mjini hapa Jumatano, Kitwanga alitishia kuhamasisha zaidi ya wananchi 10,000 kwenda kuzima mtambo wa...
14May 2017
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Mtuhumiwa huyo inadaiwa alimchoma kisu mumewake baada ya kugundua ameoa mke mwingine.  Inadaiwa baada ya kugundua mume wake, Tani Ali Tani (41), ameoa mke mwingine, alimchoma kisu akiwa nyumbani...

Meneja wa Kihumbe, Ptolemy Samwel.

14May 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Akizungumza na wandishi wa habari jana, Meneja wa Kihumbe, Ptolemy Samwel, alisema vijana hao wamewezeshwa masuala ya ujasiriamali na utunzaji wa fedha ili ziwasaidie kuinua kipato. Aidha, alisema...
14May 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Hiki ndicho kipindi cha magonjwa ya mlipuko kama homa ya matumbo, kuharisha damu, na hata kichocho bila kusahau nyungunyungu, mafua na homa za vichomi hasa kwa watoto na wazee. Familia nyingi...

Juma Kaseja.

14May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Kaseja kipa wa zamani wa Moro United, Simba na Yanga, alijiunga Kagera Sugar kwa mkataba mfupi akitokea Mbeya City ya jijini Mbeya. Akizungumza na gazeti hili jana, Meneja wa Kagera Sugar,...
14May 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Lowassa alisema licha ya watumishi hao 9,932 kudaiwa kukutwa na kosa la kughushi vyeti ili kujipatia kazi, bado wanastahili mafao kwa jasho walilolitoa kwa kipindi chao chote cha kulitumikia taifa,...
14May 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa ripoti ya sensa ya idadi ya watu na makazi ya mwaka 2012 imebainisha kuwa Zanzibar idadi ya watu ni zaidi ya milioni 1.4. Katika visiwani vya Unguja na Pemba, kote tatizo la makazi...
14May 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Wananchi hao walifafanua kuwa licha ya maeneo yao kuchukuliwa na serikali kwa ajili ya kupisha mradi huo, lakini kiasi cha malipo ya fidia waliyopokea ni kidogo ikilinganishwa na tathmini iliyofanywa...
14May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ilidaiwa kabla ya kuuawa, mrembo huyo alikuwa na majambazi wenzake watatu wa kiume waliokuwa wakiwapora mali wakazi wa eneo hilo. Awali, Polisi walijulishwa na raia wema kuhusiana na mahala...
14May 2017
Jenifer Julius
Nipashe Jumapili
Usafiri huu una watu kutoka sehemu mbalimbali wenye tabia tofauti hivyo hata mienendo yao hutofautiana, kuna wengi wamezoea kupiga chabo, kudokoa na baadhi maneno machafu. Kati ya yanayojiri...
14May 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Ni ajali mbaya kutokea nchini kwa wanafunzi 32 kufariki kwa wakati mmoja, walimu wawili na dereva na kuacha wanafunzi watano majeruhi na mmoja aliyenusurika. Wanafunzi hao walikuwa wanakwenda...
08May 2017
Peter Mkwavila
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa alisema watu hao walikamatwa kufuatia msako uliofanywa kwenye maeneo mbalimbali.Aliwataja waliokamatwa ni...
08May 2017
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Rachel Chuwa alisema mbali na afya, sekta nyingine iliyoathirika na hali hiyo ni elimu ambayo ina watumishi nane...
07May 2017
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika ufunguzi wa Kamati ya Maadili ya Shehia ya Tomondo, Mahmoud alisema kuwa mitandao ya kijamii imekuwa ikitumiwa vibaya; hasa kuangalia mambo yasiyostahiki. Alisema hali hiyo...
07May 2017
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Kwa upande wa Meya wa Jiji la Arusha , Calist Lazaro amesema kuwa taarifa za awali zinaonyesha kuwa tayari Serikali imekwishalipia gharama za majeneza na sanda ya kuhifadhia miili ya marehemu ambao...
07May 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Magufuli alitoa agizo hilo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza kwenye mkutano wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC). Alisema kuanzia kesho taasisi hizo zifanye kazi kwa saa 24....

Pages