NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

26Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Washambuliaji hao ni Donald Ngoma na Amissi Tambwe ambao bado ni majeruhi. Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, alisema Ngoma na Tambwe bado hawajapona na kwa...

waziri wa elimu profesa joyce ndalichako.

26Mar 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Sambamba na sababu hizo, imeelezwa kuwa kukosekana kwa sera kumesababisha kila kiongozi anayeteuliwa kusimamia elimu kufanya mabadiliko na matokeo yake kuifanya sekta kuyumba na kukosa mwelekeo....
26Mar 2017
Abdul Mitumba
Nipashe Jumapili
Hivi karibuni wananchi hao walielezwa kuwa watanufaika na mradi wa maji safi na salama utakaogharimu Sh. milioni 157.6 na kwamba watalipia gharama kidogo katika kuunganishiwa. Kwa mujibu wa...

heroin.

19Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Kamishina Mkazi wa tume hiyo, Mohamed Khamis Hamad, alipokuwa akizungumzia vita dhidi ya dawa za kulevya visiwani Zanzibar. Alisema sigara, 'unga' na bangi zinawafikia...
19Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ilitolewa na Kaimu Mwenyekiti wa Chama hicho, Peter Magwira, alipokuwa akizungumzia hatua ya Tanesco kutoa muda wa siku 14 kwa wadaiwa sugu ikiwa Zeco kulipa madeni yao kabla ya kukatiwa...
19Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Operesheni ya kuwasaka watu wanaofanya biashara ya ukahaba na kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ilifanyika juzi na kuongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Ayoub Mohamed Mahmoud,...
19Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Tukio hilo lilifanyika juzi likiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Robert Gabriel, ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama wilayani humo. Kwa mujibu wa mkuu huyo wa wilaya, taarifa...
19Mar 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Ushauri wa awali aliopewa ulikuwa akamuulize daktari wake, lakini pia kumtumia anuani za mitandao akajisomee mwenyewe. Kwa kuwa pengine ni suala linalowahusu wanawake wengi , inaelezwa kuwa hakuna...
19Mar 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Uamuzi huo ulitangazwa na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya wiki ya maji ambayo yatafikiwa kilele chake wiki hii, Jumatano...
19Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Wana CCM wamejifunga mikanda na matangazo ya kujiokoa endapo ajali itatokea yanaanza kutolewa. Hapa matairi ya ndege yamekanyaga mstari tayari kupasha moto injini ikizunguka kwenye njia yake mara...
19Mar 2017
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Alifika ofisini kwangu binti mmoja aitwaye Neema Adrian, mwanafunzi wa uandishi wa habari kwenye chuo kimoja jijini Dar-es-Salaam. Binti huyo alifika kwangu kupata huduma inayotolewa na taasisi...
19Mar 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kila Wizara italielezea ilivyotekeleza miradi ya maendeleo kwenye fedha zilizotengwa na bajeti pamoja na majukumu mbalimbali ambayo yalijitokeza katika mwaka wa fedha unaomalizika Juni 30. Aidha...
19Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Kuungana na Azam kama ikifuzu Swaziland leo, Msuva ‘apeperusha’ bao baada ya...
Yanga imeaga michuano hiyo baada ya jana kulazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji Zanaco katika mechi iliyokuwa na upinzani kuanzia dakika ya kwanza mpaka filimbi ya mwisho. Hata hivyo,...

Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog.

19Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog, alisema jana kuwa maandalizi ya mechi hiyo yamekamilika na wachezaji wake wako tayari kwa 'jukumu' moja la kusaka ushindi. Omog alisema wanahitaji kusonga mbele...

John Bocco.

19Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Azam FC itaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Ramadhani Singano 'Messi' katika mchezo wa kwanza uliofanyika Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa Azam Complex,...

Serengeti Boys.

19Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Serengeti Boys imefuzu kushiriki fainali za vijana za Afrika na baada ya Mali kufungiwa, sasa Kundi B limebakia na timu tatu ambazo ni Tanzania, Angola na Niger. Akizungumza na gazeti hili jana,...
19Mar 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa Kamanda wa kanda hiyo, Kamishna Simon Sirro, miili ya watu hao iliopolewa kutoka katika Mto Msimbazi. Baada ya tukio hilo, wakazi wa mabondeni wanatahadharishwa kuhama mara moja...
19Mar 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Rais alichukua hatua hiyo baada ya kuona kuwa agizo hilo halina tija kwa taifa, hasa kutokana na ukweli kwamba Watanzania wengi hawana vyeti vya kuzaliwa na hivyo amri hiyo ingewapa wakati mgumu...

DAMU.

19Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Kutokana na hali hiyo, serikali imeyataka madhehebu ya dini, taasisi za umma na binafsi, watu binafsi kuchangia damu, ili kuokoa maisha hususan ya watoto na kinamama. Mganga Mkuu wa Serikali, Prof...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba.

19Mar 2017
Robert Temaliwa
Nipashe Jumapili
Wakizungumza na Nipashe nyumbani kwa marehemu juzi, wanafamilia hao walisema tukio hilo limewaachia simanzi kubwa kutokana jinsi ndugu yao alivyouawa. Kaka wa marehemu, Mohamed Mkangara, alisema...

Pages