NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Isaya Mwita

23Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mradi huo wenye lengo la kudhibiti mafuriko na uchafuzi wa mazingira ambao unatarajiwa kumalizika Oktoba mwaka huu, utakuwa ni mahususi kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Mwita alisema kuwa...

Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu

23Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe Digital Meneja wa Majembe Auction Mart Mkoa wa Kigoma Zilly Bakari, alisema anatekeleza agizo lilotolewa na NHC la kumuondoa mkuu wa chu hicho ambaye pia ni Mwenyekiti wa...

Waziri wa Fedha, Philip Mpango

23Apr 2017
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Wakati serikali ikijipanga kuboresha mpango huo, wananchi wanatakiwa kulipa kodi ya majengo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na tozo ya pango la ardhi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na...

Vijana wafanyabiashara katika Soko la Ilala Mchikichini jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na wawezeshaji wa kisheria wa Shirika la Equality for Growth (EfG), wenye fulana za njano, baada ya kufungua klabu ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo mwishoni mwa wiki.

23Apr 2017
THOBIAS MWANAKATWE
Nipashe Jumapili
Klabu hizo zimeanzishwa kupitia kampeni ya miezi miwili ya Tunaweza inayoendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wakizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam,...

Kazimbaya Makwega

23Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Makwega alilazimika kulala kwenye mabweni alipokuwa kwenye ziara ya siku nne kutekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye vijiji mbalimbali ambako alikwenda kukabidhi wananchi ng'ombe na...
23Apr 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Sakata hilo lilitokea katika hoteli ya Vina iliyopo Mburahati jijini Dar es Salaam wakati viongozi wa CUF Wilaya ya Kinondoni walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu mgogoro unaoendelea...

Alphonce Felix Simbu.

23Apr 2017
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Alphonce, ambaye ni Mtanzania wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika mashindano maarufu ya Standard Chartered Mumbai Marathon, alimaliza mbio hizo kwa muda wa 2:09:32 na kuzawadiwa dola za...
23Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Kwa ushindi huo, Yanga imeungana na Simba, Azam FC na Mbao FC kucheza hatua hiyo, ambayo bingwa wa michuano hiyo ataiwakilisha Tanzania Bara katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika mwakani...
23Apr 2017
George Tarimo
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe, kwa niaba ya Mkuu wa Takukuru mkoa wa Iringa, Evarist Shija, wakati akitoa taarifa ya utekelezaji  kazi wa Takukuru kwa kipindi cha mwezi  Julai 2016 hadi Machi 2017, alisema...

rais john magufuli.

23Apr 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Ni jambo lililopokewa kwa shangwe wenye vyeti sahihi wakiona sasa ‘wameukata’ na mtihani ukawa kwa wasiokuwa navyo.    Shauku yangu katika ‘Upepo wa Leo’ ni kujadili uhusiano kati ya mwanafunzi...
23Apr 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Hayo yalijitokeza wakati wa mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na ile ya Menejimenti ya utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa...
23Apr 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) inajiandaa kutoa mafunzo kwa wataalam kuhusu usalama wa mitandao, hata hivyo.Akizungumza jana jijini Dar es Salaam wakati wa kongamano lililolenga...
23Apr 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
Hayo yalielezwa jana katika barua ya walinzi hao 11 ambayo iliandikwa na kupelekwa kwa  msimamizi wa shamba hilo la Kibaranga, Manase Nyamgali, kuhusu madai hayo zaidi ya miezi 10. Katika barua...
23Apr 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Hivi karibuni wananchi kutoka kijiji kimoja mkoani Mbeya, waliamua kufanya harambee ya kujenga kituo cha afya baada ya kijiji hicho kukosa huduma hiyo kwa muda mrefu. Matokeo yake, wanakijiji...
23Apr 2017
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Uhaba huo wa walimu unasababisha wanafunzi wa shule hiyo kukosa masomo stahiki na elimu kusudiwa.Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kitumbi, Igno Ndunguru aliiambia Nipashe katika mahojiano kuwa shule...

mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Dk. Binilith Mahenge.

23Apr 2017
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Badala yake serikali imetaka wafanyabiashara kusubiri mahindi hayo yakauke, yavunwe kisha kuuzwa makavu kwa utaratibu uliozoeleka. akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, mkuu wa...

MKUU wa Wilaya ya Ukerewe, Estomiah Chang'ah.

23Apr 2017
Rose Jacob
Nipashe Jumapili
Aprili 14, mwaka huu, kivuko cha Mv Ukara, kilizimika katikati ya Ziwa Victoria kikiwa na abiria kitendo kilichoibua taharuki na hofu kubwa kwa abiria hao waliokuwa wakikitumia kwenda kisiwa cha...
23Apr 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe Jumapili
Makala hii inalenga kuonyesha faida mbalimbali za kutumia aina tofauti za chai kiafya. Tunaposema aina tofauti za chai ni kwa sababu pamoja na maeneo mengi nchini kutumia majani ya chai aina ya...

Mawaziri George Simbachawene wa Tamisemi na Angellah Kairuki wa Utumishi na Utawala bora.

23Apr 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Mbali na hoja hiyo, mawaziri wa Tamisemi na Utumishi walijikuta katika wakati mgumu pia kujibu hoja juu ya uhaba wa watumishi na ajira mpya, ubovu wa miundombinu katika sekta ya elimu, watumishi hewa...
23Apr 2017
Anceth Nyahore
Nipashe Jumapili
Hayo yameelezwa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Dk Seif Shekalaghe wakati akifunga mafunzo ya usalama barabara yaliyoandaliwa na serikali ya wilaya hiyo kwa waendesha pikipiki za kubeba abiria mjini...

Pages