NDANI YA NIPASHE LEO

MBUNGE wa Mwanga, Profesa Jumanne Maghembe.

20Jul 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Akizungumza baada ya ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa ahadi zake, alisema katika kipindi chake cha ubunge kuelekea uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2020 atahakikisha sekta hiyo ya viwanda...
20Jul 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Alisema hakuna haja ya wananchi kukosa chakula cha uhakika wakati kuna fursa hiyo ya kulima na kupata chakula cha uhakika kwa mwaka mzima sambamba na kujipatia kipato endelevu. Alisema zaidi ya...
20Jul 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Lwandamina alisema wachezaji wake watakuwa na nguvu na watafikia kiwango anachohitaji kwa sababu msimu huu amewapa mazoezi kuanzia mwanzo tofauti na ilivyokuwa msimu...
20Jul 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Uamuzi wa kuifanya siku hiyo kuwa ya usafi nchi nzima ulitangazwa mwaka jana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina. Luhaga alisema, serikali iliamua...
20Jul 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Nassoro Katuga alimueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi, kuwa mshitakiwa hakuweza kufika wakati kesi yake na wenzake watatu ilipotajwa kwa kuwa bado anaumwa na...
20Jul 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Sitta, ambaye Mbunge wa Urambo (CCM), alisema familia yake na ya Mwakyembe zilikuwa na uhusiano wa karibu wakati wa uhai wa Spika Sitta. Spika Sitta alifariki Novemba 7, mwaka jana, akiwa na miaka...
20Jul 2017
Mhariri
Nipashe
Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), imefanya utafiti kuhusu sera za kifedha zinazoathiri soko la mafuta ya kula na kubaini sekta ya mafuta ya alizeti pekee ina uwezo wa kuwakwamua na umaskini...
20Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza kwa njia ya simu wakati akipewa taarifa za ushindi huo na Balozi wa Biko, Kajala Masanja, Marianusi alisema taarifa za ushindi zimekimbiza homa iliyokuwa inamsumbua kwa wiki moja....

Msemaji wa Idara Kuu ya Afya, Nsachris Mwamwaja.

20Jul 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Muuguzi huyo wa kituo cha afya cha kata ya Igulubi, ambaye pia anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, anadaiwa kumchoma sindano ya usingizi na kisha kumbaka msichana huyo aliyekuwa...
20Jul 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Alikisoma hati ya mashtaka jana kwa Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa, Wakili wa Serikali Mwandamizi, Nassoro Katuga, aliwataja washtakiwa hao kuwa ni Safina Rupia na David Chimomo. Alidai kuwa...

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi

20Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Lukuvi amefikia uamuzi huo, baada ya wakazi wa eneo hilo kuzuia msafara wake na kupata malalamiko mengi kutoka kwa wananchi hao na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kuhusu mashamba...

Upendo Msuya.

20Jul 2017
Romana Mallya
Nipashe
Jaji Msuya amefariki dunia ikiwa takriban miezi mwili tangu alipomwomba Rais John Magufuli kuacha kazi. Alikuwa amelazwa hospitalini hapo kwa matibabu. Msuya ambaye alifariki dunia usiku wa...
20Jul 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Tukio hilo lililoshuhudiwa na kushangaza watu kadhaa waliokuwa na taharuki, lilitokea juzi karibu na eneo la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA). Katika tukio hilo ambalo lilitokea majira ya mchana...
20Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wamiliki watakaoshindwa kutekeleza agizo hilo, ikiwa njia ya kukwepa kulipa kodi ya serikali, ameagiza vituo vyao vifungwe na kufutiwa leseni. Rais Magufuli alitoa agizo hilo jana wakati...
20Jul 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
kigogo mwingine wa Chadema, Edward Lowassa, naye anatarajiwa kukiona cha moto leo jijini Dar es Salaam. Dk. Mashinji na viongozi wengine wanane wa Chadema, jana walifikishwa katika Mahakama ya...

Erasto Nyoni.

20Jul 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
**Atoa sababu kuitema Yanga, kipa bora Cosafa naye afunguka kutua...
Nyoni anatua Simba akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Azam FC wakati Mohammed naye ameshamaliza mkataba na Mtibwa Sugar ya Manungu, Turiani ya Morogoro. Taarifa kutoka katika...
19Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Kauli hiyo ameizungumza leo katika kipindi cha East Africa Breakfast kinachorushwa na East Africa Radio, na kusisitiza Watanzania wanatakiwa kutumia simu zao za mikononi kutuma ujumbe au picha...
19Jul 2017
Neema Emmanuel
Nipashe
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella alitaja idadi hiyo wakati akizindua kampeni ya kupambana na magonjwa hayo ambayo hapo nyuma yalikuwa hayapewi kipaumbele. Mongella amesema magonjwa hayo ni...
19Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Hayo yamesemwa na wakazi wa kijiji hicho wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego anayefuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, pamoja na kuwalipa wakulima wa korosho zaidi ya Sh...

Mkuu wa wilaya ya Igunga, Mkoani Tabora, John Mwaipopo.

19Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Akizungumzia tukio hilo, Mwaipopo alisema kukamatwa kwa watumishi hao pia kulihusisha pia wakazi watano wakazi wa Mtaa wa Mwayunge waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma za kuchoma moto hovyo kwenye makazi...

Pages