MAONI YA MHARIRI »

30Oct 2016
Nipashe Jumapili

KUNA taarifa za kushitusha juu ya kushamiri kwa dawa bandia za binadamu katika maeneo mbalimbali nchini.

29Oct 2016
Nipashe

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linataka ufafanuzi kutoka klabu ya Yanga ya Dar es Salaam juu ya mabadiliko ya mwendeshaji wa timu.

28Oct 2016
Nipashe

KUNA taarifa za kitaalamu kwamba ulaji wa vyakula vyenye viambata vya kemikali hatari kiafya ni miongoni mwa sababu zinazochangia kuwapo kwa kasi...

27Oct 2016
Nipashe

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kinakabiliwa na uhaba wa wanataaluma 400 wa kada na fani mbalimbali, wakiwamo wahadhiri waandamizi.

26Oct 2016
Nipashe

TANZANIA na Morocco zimesainiana mikataba 23 ya ushirikiano katika sekta mbalimbali.

25Oct 2016
Nipashe

KUNA taarifa za kuwapo mgogoro mkubwa baina ya mgodi wa almasi wa Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga na vijana wanaouzunguka.

24Oct 2016
Nipashe

Timu ya Yanga, ambayo ni moja ya misingi miwili ya soka la Bara, imerudi jijini kutoka Kanda ya Ziwa ikiwa na ushindi wa asilimia 100 baada ya...

23Oct 2016
Nipashe Jumapili

SUALA la utoaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu limekuwa likifanyika kwa zaidi ya miaka 20 sasa baada ya serikali kuanzisha mpango wa...

22Oct 2016
Nipashe

JUMAMOSI iliyopita kwa mara nyingine Uwanja wa soka uligeuka kuwa Uwanja wa vurugu kufuatia mashabiki kuwapiga marefa.

21Oct 2016
Nipashe

TAARIFA kwamba robo tatu ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini walioomba mikopo kwa ajili ya mwaka huu wa fedha watakosa fursa hiyo zinaibua...

Pages