MAONI YA MHARIRI »

18Dec 2016
Nipashe Jumapili

KATIKA gazeti hili toleo la jana, kulikuwa na habari kwamba baadhi ya wabunge wanakusudia kuwasilisha hoja binafsi kuwadhibiti mawaziri kutoa...

16Dec 2016
Nipashe

MIONGONI mwa mambo ambayo yamekuwa yakiwakwaza wasichana katika kupata haki yao ya msingi ya elimu ni mimba shuleni.

15Dec 2016
Nipashe

SERIKALI imetangaza nafasi za ajira kwa walimu wa shule za sekondari waliohitimu masomo yao mwaka 2015.

14Dec 2016
Nipashe

TAKWIMU zinaonyesha kwamba utapiamlo ni miongoni mwa magonjwa yanayochangia vifo vya watoto nchini.

13Dec 2016
Nipashe

HATIMAYE mfanyabiashara bilionea Afrika ambaye ni mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Mtwara, Aliko Dangote, amefikia makubaliano na serikali na...

12Dec 2016
Nipashe

SIMBA jana ilipiga hatua moja mbele kwenye mchakato wao wa kufanya mabadiliko ya uwendeshaji wa klabu hiyo kutoka kwenye utaratibu uliopo sasa na...

11Dec 2016
Nipashe Jumapili

NI bahati ya mtende kuota jangwani. Wafungwa zaidi ya 1,300 waliokuwa wakitumikia adhabu katika magereza mbalimbali nchini wataachiwa huru mapema...

10Dec 2016
Nipashe

JANA kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi ya wachezaji ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) ilitoa hukumu ya juu ya sakata la muda mrefu la beki wa...

09Dec 2016
Nipashe

LEO Tanzania Bara inaadhimisha miaka 55 ya Uhuru wake uliopatikana Desemba 9, 1961 kutoka Uingereza.

08Dec 2016
Nipashe

HABARI kwamba Rais John Magufuli ameiagiza Wizara ya Nishati na Madini, kuondolewa kwa leseni ya mwekezaji wa eneo la Nyaligongo, Kata ya...

Pages