MAONI YA MHARIRI »

02Dec 2016
Nipashe

JANA dunia iliadhimisha siku ya Ukimwi, huku ikielezwa kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa nchini zimesaidia kuleta mafanikio katika kupunguza...

01Dec 2016
Nipashe

MOJA ya mambo yanayotajwa kuwa yanachangia kuathiri uboreshaji wa kiwango cha elimu nchini ni kutokuwapo kwa Baraza la Elimu.

30Nov 2016
Nipashe

KUNA taarifa za kutisha kwamba maambukizi ya virusi vya homa ya ini (Hepatitis B) kitaifa, ni makubwa kuzidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).

29Nov 2016
Nipashe

KUNA taarifa kwamba kiwanda cha saruji cha Dangote kilichopo mkoani Mtwara, kimesitisha uzalishaji kutokana na kuelemewa na gharama za uendeshaji...

27Nov 2016
Nipashe Jumapili

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ilizinduliwa Septemba 5, mwaka jana na Rais wa Nne mwenye...

26Nov 2016
Nipashe

BAADA ya ligi kuu Tanzania bara kusimama hivi karibuni kupisha kipindi cha dirisha dogo la usajili pamoja na majukumu ya timu za taifa, ipo...

25Nov 2016
Nipashe

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewaonya na kuwaagiza viongozi katika wizara, mikoa, wilaya, idara za serikali, halmashauri na taasisi zote za...

24Nov 2016
Nipashe

MIAKA ya nyuma sheria iliruhusu walimu kutumia viboko kuwaadhibu wanafunzi ambao walikuwa wanafanya makosa, lengo likiwa ni kuwaweka katika...

22Nov 2016
Nipashe

MOJA ya changamoto ambazo zimekuwa sugu na za muda mrefu nchini ni migogoro kati ya wakulima na wafugaji.

21Nov 2016
Nipashe

UJENZI wa Uwanja wa mazoezi wa klabu ya Simba iliyoko katika eneo la Bunju wilayani Kinondoni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, umesimama...

Pages