MAONI YA MHARIRI »

18Apr 2016
Nipashe

KWA muda mrefu sekta ya michezo imekuwa ikilalamikiwa kushindwa kupiga hatua. Kuna sababu nyingi zimechangia hali hiyo, lakini kubwa ni uwepo wa...

17Apr 2016
Nipashe Jumapili

Katika hali inayoonyesha kugwaya kwa mhimili mmoja wa dola katika Vita Kuu ya Kwanza dhidi ya ufisadi nchini, Bunge juzi lilitoa taarifa...

16Apr 2016
Nipashe

LIGI Kuu Bara inakwenda kwenye hatua za lala salama, huku pia ushindani ukizidi kuongezeka.

15Apr 2016
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana, tulichapisha habari ikieleza kuwa hali ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) na Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI...

14Apr 2016
Nipashe

WAKATI Serikali ikiendelea na mapambano ya kutokomeza watumishi hewa, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick...

13Apr 2016
Nipashe

RAIS John Magufuli, juzi alitengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne-Kilango Malecela, na kumsimamisha kazi mara moja Katibu Tawala wa...

12Apr 2016
Nipashe

LEO Watanzania wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 32 tangu Waziri Mkuu wa zamani, Hayati Edward Sokoine, afariki dunia Aprili 12, 1984, kwa ajali...

11Apr 2016
Nipashe

KATIKA mchezo wowote, nidhamu ya mchezaji ni jambo muhimu kabisa. Nidhamu ndiyo hulinda kipaji cha mchezaji na kumfanya kucheza kwa muda mrefu....

10Apr 2016
Nipashe Jumapili

Kwa mujibu wa Waziri wa Utumishi, Angela Kairuki, watumishi hewa wameshaisababishia serikali ya Rais wa tano, John Magufuli hasara Sh. bilioni 7.6...

09Apr 2016
Nipashe

Kila la kheri Yanga Afrika
YANGA – wawakilishi wa nchi katika mashindano ya Klabu Afrika, wanashuka dimbani leo katika mchezo wao wa kwanza wa...

Pages