MAONI YA MHARIRI »

23Dec 2016
Nipashe

JUZI na jana vyombo vya habari nchini viliripoti taarifa ya kushangaza ya kukamatwa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha ITV...

22Dec 2016
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana tulichapisha habari iliyoeleza uwapo wa watu ‘wanaowaliza’ madereva kwa kuwatoza fedha barabarani huku wakijifanya kuwa...

21Dec 2016
Nipashe

PAMOJA na elimu kutolewa kwa wananchi mara kwa mara kuhusiana na kutojichukulia sheria mkononi, wananchi katika maeneo mengi nchini wanaendelea...

20Dec 2016
Nipashe

ZIARA ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mkoani Arusha imebainisha kitu ambacho viongozi wetu wa umma hawanabudi kujifunza.

19Dec 2016
Nipashe

MUZIKI, filamu ni moja ya tasnia ambazo zinawapa nafasi kubwa vijana kujiajiri.

18Dec 2016
Nipashe Jumapili

KATIKA gazeti hili toleo la jana, kulikuwa na habari kwamba baadhi ya wabunge wanakusudia kuwasilisha hoja binafsi kuwadhibiti mawaziri kutoa...

16Dec 2016
Nipashe

MIONGONI mwa mambo ambayo yamekuwa yakiwakwaza wasichana katika kupata haki yao ya msingi ya elimu ni mimba shuleni.

15Dec 2016
Nipashe

SERIKALI imetangaza nafasi za ajira kwa walimu wa shule za sekondari waliohitimu masomo yao mwaka 2015.

14Dec 2016
Nipashe

TAKWIMU zinaonyesha kwamba utapiamlo ni miongoni mwa magonjwa yanayochangia vifo vya watoto nchini.

13Dec 2016
Nipashe

HATIMAYE mfanyabiashara bilionea Afrika ambaye ni mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Mtwara, Aliko Dangote, amefikia makubaliano na serikali na...

Pages