MAONI YA MHARIRI »

13Jan 2017
Nipashe

WAKATI Tanzania Visiwani ikiadhimisha miaka 53 ya mapinduzi kwa gwaride maalumu lililofanyika kwenye Uwanja wa Amaan jana, takwimu zilizopo...

12Jan 2017
Nipashe

WATOTO watano wa familia moja walikufa maji baada ya boti ya MV Burudan iliyokuwa imebeba watu nane wa familia hiyo na wengine zaidi ya 30 kuzama...

11Jan 2017
Nipashe

MVUA za mwaka huu zilizoanza kunyesha tangu mapema ya Novemba, mwaka jana katika baadhi ya mikoa, zimekuwa za shaka kiasi cha kutishia hali ya...

10Jan 2017
Nipashe

WATU wawili wanaotuhumiwa kuwa majambazi waliuawa wakati wakihojiwa katika ofisi ya Mtendaji wa kijiji cha Lupa Market, kata ya Ifumbo wilayani...

09Jan 2017
Nipashe

TAYARI vyama vingi vya soka vya mikoa ambavyo ni wanachama wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), vimefanya uchaguzi wake kwa mujibu wa katiba...

08Jan 2017
Nipashe Jumapili

KATIKA toleo la jana la gazeti hili, kulikuwa na habari kwamba Taasisi ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) imeanza...

06Jan 2017
Nipashe

KAMPENI za uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Dimani Zanzibar zimeanza, baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana kuzizindua kwa upande wao...

05Jan 2017
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana tulichapisha habari iliyoeleza kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali kurejesha maadili ya watumishi wa...

04Jan 2017
Nipashe

JANA vyombo vya habari kadhaa vilichapisha habari kuhusu tukio la askari watatu wa wanyamapori wa Pori la Akiba Swagaswaga wilayani Kondoa mkoani...

03Jan 2017
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla, amewapa siku saba wafanyabiashara ndogo maarufu kama wamachinga jijini Mbeya, kuondoa biashara zao na kuingia...

Pages