MAONI YA MHARIRI »

08Mar 2017
Nipashe

HATIMAYE Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene ameungana na Watanzania waliopaza sauti...

07Mar 2017
Nipashe

RAIS John Magufuli alitoa siku saba kuanzia juzi kwa Wizara ya Nishati na Madini kuwa imega mgodi wa makaa ya mawe katika eneo la Ngaka, wilaya...

06Mar 2017
Nipashe

MSIMU wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa 2016/2017 unaelekea ukingoni ambapo timu shiriki zimebakiza mechi si zaidi ya saba kumaliza michezo yao yote....

05Mar 2017
Nipashe Jumapili

RAIS John Magufuli aligeuka mbogo na kutangaza hatua kali za kuchukuliwa dhidi ya mwakilishi wa mkandarasi aliyepewa zabuni ya ujenzi wa mradi...

04Mar 2017
Nipashe

SOKA ni mchezo wa wazi, ni m,chezo ambao unachezwa hadharani na kila mapungufu ya mchezaji mmoja mmoja, makocha na hata waamuzi yanaonekana wazi...

03Mar 2017
Nipashe

HATIMAYE awamu ya kwanza ya utekelezaji wa uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma imekamilika juzi baada ya wizara zote kuhamia mjini humo.

02Mar 2017
Nipashe

SERIKALI imebaini kuwapo kwa ukiukwaji mkubwa wa taratibu za kibiashara katika minada ya madini na hasa mkoani Arusha na kwenye eneo la Mererani...

01Mar 2017
Nipashe

BAADA ya kuwapo kwa taarifa ya ukame wa muda mrefu katika baadhi ya maeneo nchini, hatimaye mvua zimeanza kunyesha kwa wiki kadhaa sasa.

28Feb 2017
Nipashe

UKIWA umebaki mwezi mmoja kabla ya kuanza kwa Bunge la Bajeti mjini Dodoma, Nipashe tumegundua kuwa mawaziri 13 wanakabiliwa na mtihani mgumu...

27Feb 2017
Nipashe

MCHEZO uliowakutanisha watani wa jadi, Simba na Yanga juzi Jumamosi ulimalizika kwa amani na utulivu mkubwa tofauti na ulivyotarajiwa.

Pages