MAONI YA MHARIRI »

18Mar 2017
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzania waliobakia katika mashindano ya kimataifa, Yanga na Azam FC wanatarajia kupeperusha bendera ya nchi kati ya leo na kesho...

17Mar 2017
Nipashe

KATIKA moja ya jitihada za kuunga mkono utekelezaji wa mkakati wa kujenga uchumi wa viwanda nchini, Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF),

16Mar 2017
Nipashe

TAARIFA kwamba Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi hadi sasa haijapewa fedha kwa ajili ya kuendesha shughuli mbalimbali, hivyo kukwama, ni aibu.

15Mar 2017
Nipashe

MVUA zilizonyesha juzi katika Jiji la Dar es Salaam na kuharibu miundombinu ya barabara ni dalili za kuanza kwa msimu wa masika.

14Mar 2017
Nipashe

KANISA la Aglikana Tanzania juzi lilimemtoa rasmi katika uongozi, aliyekuwa askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk. Valentino Mokiwa.

13Mar 2017
Nipashe

JUZI ulichezwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wawakilishi wa Tanzania, Yanga dhidi ya Zanaco ya Zambia.

12Mar 2017
Nipashe Jumapili

VILIO vilitanda katika eneo la Buguruni kwa Mnyamani, Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, jana wakati wa utekelezaji wa operesheni ya kubomoa...

11Mar 2017
Nipashe

ZANACO, mabingwa wa soka wa Zambia ni miongoni mwa timu ngumu Afrika kwenye michuano Kimataifa.

10Mar 2017
Nipashe

MVUA kubwa iliyonyesha zaidi katika maeneo ya Kisarawe mkoani Pwani na kunyesha pia kwa kiasi jijini Dar es Salaam ilisababisha kifo na hasara ya...

09Mar 2017
Nipashe

SERIKALI imezitaka hospitali zake zote kuhakikisha zinatekeleza sera ya afya inayosisitiza kuwapo kwa huduma bure za matibabu kwa wajawazito.

Pages