MAONI YA MHARIRI »

21May 2017
Nipashe Jumapili

UKAGUZI uliofanywa na Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima Tanzania (TIRA) umebaini kuwa magari mengi ya abiria yana bima bandia.

20May 2017
Nipashe

LIGI kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo inafikia tamati baada ya timu 16 zilizokuwa zikishiriki michuano hiyo kupambana na hatimaye bingwa mpya...

19May 2017
Nipashe

SERIKALI imesema kwamba ina mpango wa kuongeza nafasi za ajira kwa wananchi, baada ya kusajiri miradi mikubwa zaidi ya viwanda.

18May 2017
Nipashe

BAADA ya wabunge kuchachamaa kuhusu makosa waliyoyabaini kwenye vitabu vya kujifunzia na kushauri kuzuia matumizi yake ili kuepuka kuendelea...

17May 2017
Nipashe

RAIS John Magufuli, ameivunja rasmi Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) na kuagiza mali na shughuli zote zilizokuwa zikifanywa na...

16May 2017
Nipashe

KUTOKANA na Serikali kutenga fedha zisizotosheleza mahitaji ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka ujao wa fedha, Bunge limeishauri...

14May 2017
Nipashe Jumapili

WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na mafunzo ya Ufundi, imewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka ujao wa fedha na kama...

13May 2017
Nipashe

VIJANA wetu wa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' keshokutwa Jumatatu itaanza rasmi kampeni ya kutwaa...

12May 2017
Nipashe

MARA nyingi Watanzania tumekuwa tukijivunia sana kuwa na lugha ya Kiswahili ambayo ndiyo iliyosaidia katika kutuunganisha na kuwa na taifa moja....

11May 2017
Nipashe

MATUKIO ya uhalifu wa kutisha ambao umesababisha hofu kubwa ya usalama wa wananchi katika wilaya za Rufiji, Kibiti na Mkuranga mkoani Pwani,...

Pages