MAONI YA MHARIRI »

09Oct 2017
Nipashe

TUACHE matokeo ya bao 1-1 ambayo timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ imeyapata kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki ambao ulifanyika juzi dhidi ya...

08Oct 2017
Nipashe Jumapili

RAIS John Magufuli jana alifanya mabadiliko makubwa katika Baraza la Mawaziri kwa kuteua sura mpya, kuwaacha baadhi ya mawaziri na naibu mawaziri...

07Oct 2017
Nipashe

INGAWA leo inacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi, lakini mchezo huu ni muhimu sana kwa timu yetu ya taifa ‘Taifa Stars’.

06Oct 2017
Nipashe

KUNA matukio kadhaa ya unywaji wa pombe za kienyeji ambayo yamekuwa yakisababisha athari na vifo vya watumiaji wake.

05Oct 2017
Nipashe

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), ni chombo chenye umuhimu mkubwa katika utoaji wa elimu ya juu nchini, kutokana na kuwa...

04Oct 2017
Nipashe

TUNAPOZUNGUMZIA changamoto mbalimbali ambazo zimechangia kushusha kiwango cha elimu nchini, kutokuendelezwa elimu ya ualimu ni changamoto ambayo...

03Oct 2017
Nipashe

KUNA taarifa za kutia moyo kwamba hatua mbalimbali ambazo zimekuwa zikichukuliwa zimesababisha kuongezeka kwa ubora na usalama wa dawa nchini.

02Oct 2017
Nipashe

LIGI Kuu Tanzania Bara imezidi kushika kasi kwa ushindani kuongezeka, huku mashabiki wakishuhudia matokeo yasiyotarajiwa katika michezo kadhaa....

01Oct 2017
Nipashe Jumapili

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philipo Mpango juzi aliagiza watendaji wa taasisi za umma zilizobainika kukiuka taratibu za ununuzi ya umma kwa...

30Sep 2017
Nipashe

TANZANIA imepewa na CAF uwenyeji wa fainali za Afrika kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 (U-17) za mwaka 2019.

Pages