MAONI YA MHARIRI »

10Jan 2018
Nipashe

JUZI wakazi wa Jiji la Dar es Salaam walishuhudia mvua kubwa iliyosababisha athari kadhaa yakiwamo mafuriko.

09Jan 2018
Nipashe

SEKTA ya uvuvi na mifugo licha ya umuhimu na thamani yake katika uchumi wa nchi, kwa miaka mingi imekosa kuliingizia Taifa letu mapato stahiki...

08Jan 2018
Nipashe

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), kupitia Kamati yake ya Saa 72, imetoa maamuzi kwa  baadhi ya michezo ambayo iligubikwa na utata hususan michezo...

07Jan 2018
Nipashe Jumapili

KUNA taarifa kuwa mvua mfululizo zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo nchini zinaendelea kuleta madhara, ikiwamo vifo.

06Jan 2018
Nipashe

JANA ilichezeshwa droo ya kwa ajili ya michezo ya hatua ya 32 bora ya michuano ya kombe la Shirikisho Tanzania maarufu kama kombe la FA.

05Jan 2018
Nipashe

SERIKALI imetangaza neema kwa walimu, wafanyakazi wa umma, makandarasi na pia watu na taasisi nyingine mbalimbali zilizokuwa zikiidai mabilioni ya...

04Jan 2018
Nipashe

WAFANYABIASHARA wadogo nchini wamekuwa na kilio cha muda mrefu sana cha kudaiwa kodi muda mfupi baada ya kuanza biashara.

03Jan 2018
Nipashe

NI hakika kuwa zao la korosho mwaka 2017, halikuwa na mpinzani kibei na kibiashara. Kinachozidi kulifanya kuwa zao lenye tija zaidi ni malipo ya...

02Jan 2018
Nipashe

CHAPA ya mifugo ni suala lililosababisha malalamiko makubwa kutoka kwa wafugaji mbalimbali tangu lilipotolewa agizo hilo na serikali.

01Jan 2018
Nipashe

KWANZA kabisa, Nipashe tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuumaliza mwaka 2017 salama na kuuanza mwaka 2018, tukiwa...

Pages