MAONI YA MHARIRI »

08Nov 2017
Nipashe

SERIKALI imetoa ajira 2,058 za sekta ya afya ambapo watumishi hao watasambazwa katika wilaya mbalimbali nchini, kwa mujibu wa Waziri wa Nchi Ofisi...

07Nov 2017
Nipashe

Hatimaye serikali ilitangaza kuwaongezea mishahara watumishi wa umma nchini na pia kuwapandisha madaraja wale wanaostahili kuanzia mwezi huu.

06Nov 2017
Nipashe

TANZANIA kwa sasa ipo katika nafasi ya 136 ya viwango vya ubora vinavyotolewa na Shirikisho la Soka duniani (Fifa).

05Nov 2017
Nipashe Jumapili

KATIKA toleo la jana la gazeti hili kulikuwa na habari juu ya vifo vya wanafunzi wawili wa Shule ya Msingi Sarawe, Bunda mkoani Mara vilivyotokana...

04Nov 2017
Nipashe

ALHAMISI wiki hii Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), lilitangaza limethibitisha kwa timu zake mbili zitashiriki katika mashindano ya kuwania Kombe...

03Nov 2017
Nipashe

KATIKA siku za karibuni pamekuwapo na kilio cha wadau wa usafiri na usafirishaji kwamba kiasi kikubwa cha makusanyo ya faini kinachopatikana kwa...

02Nov 2017
Nipashe

BARAZA la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), ndilo lenye jukumu la kusimamia shughuli za utunzaji wa mazingira nchini chini ya...

01Nov 2017
Nipashe

MOJA ya changamoto ambazo Serikali imezifanyia kazi na kuleta matokeo chaya ni ya upatikanaji dawa katika vituo vya huduma vikiwamo zahanati,...

31Oct 2017
Nipashe

RAIS John Magufuli jana alisitisha zoezi la kubomoa nyumba zaidi ya 3,000 za wakazi wa Kigoto na Mng’onze mkoani Mwanza mpaka hapo...

30Oct 2017
Nipashe

MCHEZO wa Simba na Yanga ndio mechi kubwa zaidi ya ligi kuu Tanzania Bara.

Pages