MAONI YA MHARIRI »

15Sep 2017
Nipashe

RAIS John Magufuli amevunja rasmi Wakala wa Uendelezaji wa Mji wa Kigamboni (KDA) katika Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es
Salaam.

14Sep 2017
Nipashe

UAMUZI wa Rais John Magufuli wa kukataa kusaini hukumu zinazotolewa na mahakama za kuwanyonga watu waliopatikana na makosa yanayostahili adhabu...

13Sep 2017
Nipashe

MOJA ya changamoto kubwa ambazo zinamkabili Jaji Mkuu mpya, Profesa Ibrahim Hamis Juma, ni rushwa.

12Sep 2017
Nipashe

UJANGILI ni changamoto ambayo imekuwa ikiikabili nchi yetu kwa miaka ya karibuni.

11Sep 2017
Nipashe

LIGI Kuu Tanzania Bara imeingia raundi ya pili huku sasa ushindani ukionekana kuongezeka baada ya juzi kushuhudia Simba iliyoanza kwa kishindo cha...

10Sep 2017
Nipashe Jumapili

WIKI hii idadi kubwa ya Watanzania walishikwa na butwaa baada ya kupokea taarifa za mwanasiasa machachari na mwanasheria Mkuu wa Chama cha...

09Sep 2017
Nipashe

PANGUA pangua ya ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara ni moja ya mambo ambayo yamekuwa yakipigiwa kelele na wadau wa soka hapa nchini.

08Sep 2017
Nipashe

UKWELI kuhusiana na sababu ambazo zimesababisha umaskini kwa Watanzania na nchi yetu kuchelewa kupaa kwa maendeleo zimezidi kubainika.

07Sep 2017
Nipashe

KWA muda mrefu mashirika ya wanaharakati wa utetezi wa jinsia yamekuwa yakilalamikia kutokuwapo kwa usawa wa kijinsia nchini kati ya wanawake na...

06Sep 2017
Nipashe

WANAFUNZI zaidi ya 900,000 wa darasa la saba wanatarajiwa kuanza mitihani yao ya elimu ya msingi leo na kukamilisha kesho.

Pages