MAONI YA MHARIRI »

25Oct 2017
Nipashe

MSOMI mahiri Prof. Frolens Luoga, ndiye Gavana mpya wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT, akipokea kijiti kutoka kwa Prof. Benno Ndulu.

24Oct 2017
Nipashe

KWA miaka kadhaa yamekuwapo malalamiko mengi ya wananchi maskini kuporwa viwanja vyao na watu wenye jeuri ya fedha.

23Oct 2017
Nipashe

BARAZA la Vyama vya Soka Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), tayari limetangaza mashindano ya Chalenji yatafanyika kuanzia mwezi ujao...

22Oct 2017
Nipashe Jumapili

KATIKA toleo la jana la gazeti hili, kulikuwa na habari inayohusu kashfa ndani ya jeshi la Polisi juu ya ununuzi wa magari 770 ya maji ya...

21Oct 2017
Nipashe

LIGI kuu Tanzania Bara inazidi kupamba moto huku timu zikichuana vikali na kila moja ikitaka kukoleza kasi yake kuelekea ubingwa msimu huu wa...

20Oct 2017
Nipashe

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa majina mapya 10,000 wa mwaka wa kwanza walioidhinishwa kupata mikopo kwa ajili ya mwaka...

19Oct 2017
Nipashe

TAARIFA za utabiri wa hali ya hewa zinaeleza kwamba kutakuwapo na mvua kubwa nchini kuanzia mwezi ujao.

18Oct 2017
Nipashe

JUZI wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani, mambo mbalimbali yalibainishwa na wazungumzaji, akiwamo Makamu wa Rais,...

17Oct 2017
Nipashe

UGONJWA wa saratani ni moja ya magonjwa sugu ambayo yamekuwa yakihangaisha wananchi wengi. Ugonjwa huo siyo tu unasababisha vifo, bali matibabu...

16Oct 2017
Nipashe

RUNGU la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wiki hii limetua kwa baadhi ya timu ambazo zimefanya makosa ya kikanuni.

Pages