MAONI YA MHARIRI »

05Sep 2017
Nipashe

KUNA taarifa kuwa taifa halina takwimu sahihi za mahitaji halisi ya sukari kwa mwaka. Hali hiyo ilijidhihirisha wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...

04Sep 2017
Nipashe

KATIKA msimu huu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, tumeshuhudia wachezaji wengi wakihama timu moja na kujiunga na nyingine.

03Sep 2017
Nipashe Jumapili

JESHI la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama barabarani limeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kudhibiti wingi wa ajali barabarani ambazo huacha...

01Sep 2017
Nipashe

MATUMIZI mabaya ya fedha za umma yamekuwa yakibainika kila mwaka kutokana na ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

31Aug 2017
Nipashe

WIKI iliyopita Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro, alifanya mabadiliko madogo ya makamanda wa polisi wa mikoa.
Miongoni mwa...

30Aug 2017
Nipashe

INAONEKANA kuwa agizo lililotolewa na serikali kuzitaka shule binafsi kupaka rangi ya njano mabasi yanayobeba wanafunzi, utekelezaji wake ni mgumu...

29Aug 2017
Nipashe

KWA muda mrefu kumekuwapo na kilio cha kufa kwa vyama vya ushirika nchini na vingine vilivyobakia vikienda kwa kusuasua.

28Aug 2017
Nipashe

PAZIA la Ligi Kuu Tanzania Bara limeshuhudiwa likifunguliwa juzi kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti kabla ya kuendelea jana kwa...

27Aug 2017
Nipashe Jumapili

HABARI ambayo imepokewa kwa mshtuko na wakazi wa Dar es Salaam na Watanzania kwa ujumla ni kuteketea kwa ofisi za kampuni maarufu ya mawakili ya...

26Aug 2017
Nipashe

MSIMU mpya Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/18 unatarajiwa kuanza leo.

Pages