MAONI YA MHARIRI »

16Feb 2017
Nipashe

HUKUMU kadhaa zinazotolewa katika mahakama mbalimbali nchini zimekuwa zikilalamikiwa sana kuwa ni dhaifu, na hali hiyo imewaathiri watu wengi....

15Feb 2017
Nipashe

VITA dhidi ya dawa za kulevya iliyoanzishwa na Rais John Magufuli,haiwezi kupata mafanikio bila kuwapo ushirikiano wa Watanzania wote.

14Feb 2017
Nipashe

MIONGONI mwa taasisi na idara za serikali ambazo zimekuwa zikilalamikiwa na wananchi kwa utendaji usioridhisha, ni Idara ya Uhamiaji.

13Feb 2017
Nipashe

YANGA inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara ikiwa nyuma ya Simba kwa pointi mbili.

12Feb 2017
Nipashe Jumapili

RAIS John Magufuli juzi alimteua Rogers Sianga kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini.

11Feb 2017
Nipashe

KWA mara nyingine wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika, Yanga, leo wanaelekea Comoro kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza...

10Feb 2017
Nipashe

BAADHI ya taasisi za umma zimetajwa kuwa na mikataba kadhaa ambayo ziliingia na wawekezaji kadhaa ni mibovu.

08Feb 2017
Nipashe

KATI ya mambo muhimu aliyogusia Rais John Magufuli wakati akimwapisha mkuu mpya wa majeshi nchini juzi ni pamoja na kuunga mkono vita dhidi ya...

07Feb 2017
Nipashe

Katika toleo letu la jana tulikuwa na habari ya kushtushwa kwa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), kuhusu uwepo wa...

04Feb 2017
Nipashe

IKIWA sasa tumeingia mwezi wa pili wa mwaka 2017, Shirikisho la soka Tanzania (TFF) chini ya Rais wake, Jamal Malinzi, bado halijafanya Mkutano...

Pages