MAONI YA MHARIRI »

20Jun 2017
Nipashe

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo litaamua kama bajeti ya Taifa ya mwaka 2017/18 ipite au la, baada ya kuijadili kwa siku nane.

19Jun 2017
Nipashe

KIPINDI cha usajili katika ligi mbalimbali za soka duniani kimeanza, huku nchini fujo za usajili zikiwa zimeanza kupamba moto.

18Jun 2017
Nipashe Jumapili

MIONGONI mwa matukio yaliyovuta hisia za wengi katika jiji la Dar es Salaam ni mapambano kati ya watu wenye ulemavu ambao ni madereva wa pikipiki...

17Jun 2017
Nipashe

MCHAKATO wa uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) umeanza rasmi jana ambapo wadau mbalimbali wamejitokeza kuchukua fomu za...

16Jun 2017
Nipashe

TANZANIA leo inaungana na mataifa mengine barani Afrika katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika.

15Jun 2017
Nipashe

VYAMA vya siasa Afrika vimepewa changamoto ambayo kama vitaifanyia kazi zinaweza kubadilika na kuwatumikia wananchi.

14Jun 2017
Nipashe

SERIKALI imetahadharishwa kuwa makini kuhusiana na kukopa ndani ili kuepusha uwezekano wa kudhoofisha uchumi.

13Jun 2017
Nipashe

KAMATI ya pili iliyoundwa na Rais John Magufuli Aprili 10 mwaka huu ikiwashirikisha wataalamu wa uchumi na sheria kuchunguza madini yaliyomo...

12Jun 2017
Nipashe

JUZI timu yetu ya soka ya Taifa (Taifa Stars) ilicheza mchezo wake wa kwanza wa kuwania nafasi ya kushiriki fainali za Afrika zitakazofanyika...

11Jun 2017
Nipashe Jumapili

KATIKA gazeti hili toleo la jana, habari iliyobeba uzito mkubwa ni ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuokoa takriban Sh....

Pages