MAONI YA MHARIRI »

19Oct 2017
Nipashe

TAARIFA za utabiri wa hali ya hewa zinaeleza kwamba kutakuwapo na mvua kubwa nchini kuanzia mwezi ujao.

18Oct 2017
Nipashe

JUZI wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani, mambo mbalimbali yalibainishwa na wazungumzaji, akiwamo Makamu wa Rais,...

17Oct 2017
Nipashe

UGONJWA wa saratani ni moja ya magonjwa sugu ambayo yamekuwa yakihangaisha wananchi wengi. Ugonjwa huo siyo tu unasababisha vifo, bali matibabu...

16Oct 2017
Nipashe

RUNGU la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wiki hii limetua kwa baadhi ya timu ambazo zimefanya makosa ya kikanuni.

15Oct 2017
Nipashe Jumapili

RAIS John magufuli jana aliongoza Watanzania katika kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 18 ya kifo cha mwasisi wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius...

14Oct 2017
Nipashe

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) lipo kwenye maandalizi ya kuandaa fainali za soka la vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 Afrika (AFCON U-17...

13Oct 2017
Nipashe

MIONGONI mwa huduma za jamii ambazo zina umuhimu mkubwa ni maji kutokana na kuwagusa watu wote. Maeneo ambayo hayana maji, inakuwa vigumu kupata...

12Oct 2017
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana tulichapisha habari iliyokuwa inaeleza jinsi Mahakama Kuu Kanda ya Arusha ilivyofanikiwa kusikiliza na kumaliza kwa...

11Oct 2017
Nipashe

CHANGAMOTO kadhaa zimechangia kwa kiwango kikubwa katika ukosefu wa ajira nchini hususani kwa kundi la vijana wakiwamo wanaohitimu kwenye vyuo vya...

10Oct 2017
Nipashe

MAWAZIRI wapya na manaibu mawaziri ambao waliteuliwa na wengine kuhamishwa wizara zao katika mabadiliko madogo yaliyotangazwa na Rais John...

Pages