MAONI YA MHARIRI »

05Jun 2017
Nipashe

KIPINDI cha usajili kwa ligi nyingi duniani kimeanza, hiyo ni baada ya msimu wa Ligi Kuu ya mwaka 2016/2017 kumalizika katika nchi nyingi ikiwamo...

04Jun 2017
Nipashe Jumapili

KATIKA mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Nishati na madini kwa mwaka wa fedha wa 2017/18, kuliibuka mambo mengi...

03Jun 2017
Nipashe

JANA Rais wa Shirikisho la soka Tanzania, Jamal Malinzi, aliongea na waandishi wa habari kwa ajili ya kutoa shukrani kwa wadau wote wa soka pamoja...

02Jun 2017
Nipashe

MKUU mpya wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP) Simon Sirro, amesema sasa watafanya mikutano ya hadhara na kuzungumza na wananchi kwa...

01Jun 2017
Nipashe

TAASISI ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), imependekeza mambo kadhaa kwa serikali ili kufanikisha mpango wa ujenzi wa uchumi wa viwanda.

31May 2017
Nipashe

TAARIFA za mlipuko wa ugonjwa hatari wa ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), zimeifanya Serikali ya Tanzania ichukue hatua za...

30May 2017
Nipashe

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko ya uongozi katika Jeshi la Polisi kwa kumteua aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,...

29May 2017
Nipashe

JUZI wapenzi wa soka walishuhudia mchezo uliokuwa wa ushindani mkubwa wa fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania (Azam Federation Cup) kati ya...

28May 2017
Nipashe Jumapili

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imebadilisha mfumo wa udahili wa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kuanzia mwaka wa masomo wa 2017/18, kwa kutoa...

27May 2017
Nipashe

WIKI hii tumeshuhudia hafla ya utoaji zawadi na tuzo kwa washindi na wachezaji wa waliofanya vizuri msimu wa Ligi Kuu Bara wa mwaka 2016/2017...

Pages