MAONI YA MHARIRI »

14May 2017
Nipashe Jumapili

WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na mafunzo ya Ufundi, imewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka ujao wa fedha na kama...

13May 2017
Nipashe

VIJANA wetu wa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' keshokutwa Jumatatu itaanza rasmi kampeni ya kutwaa...

12May 2017
Nipashe

MARA nyingi Watanzania tumekuwa tukijivunia sana kuwa na lugha ya Kiswahili ambayo ndiyo iliyosaidia katika kutuunganisha na kuwa na taifa moja....

11May 2017
Nipashe

MATUKIO ya uhalifu wa kutisha ambao umesababisha hofu kubwa ya usalama wa wananchi katika wilaya za Rufiji, Kibiti na Mkuranga mkoani Pwani,...

10May 2017
Nipashe

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa wito kwa wananchi walioko kwenye halmashauri, kuitumia vyema fursa ya utoaji wa elimu ya mpigakura kupitia...

09May 2017
Nipashe

TAIFA limepata msiba mkubwa wa wanafunzi 33, walimu wawili na dereva wa Shule ya Awali na Msingi ya Lucky Vincent jijini Arusha.

08May 2017
Nipashe

HATIMAYE baada ya kelele nyingi kutoka kwa klabu ya Simba ikilitaka Shirikisho la Soka nchini (TFF), kuwapa rasmi barua ya kuwafahamisha kupokwa...

07May 2017
Nipashe Jumapili

KATIKA toleo la jana la gazeti la Nipashe, imeripotiwa habari juu ya watu watatu waliopoteza maisha kwa kuchomwa moto miili yao kutokana na kuiba...

06May 2017
Nipashe

BAADA ya mwanariadha Alphonce Simbu kuanza kurejesha heshima ya Tanzania katika mchezo wa riadha, hivi karibuni kumekuwa na mbio mbalimbali...

05May 2017
Nipashe

TUNA habari kuwa serikali itaboresha huduma za matibabu ya kibingwa nchini, lengo likiwa ni kuokoa mabilioni ya fedha zinazoyalipa kutokana na...

Pages