SAFU »

22Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

KATIKA safu hii ya Mtazamo Kibiashara wiki iliyopita, nilinasibu wapenzi wa safu hii kupata muda wa kufanya mahesabu ya malengo mliojiwekea kwa mwaka huu wa 2016.

21Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JULAI 8 mwaka huu, Mahakama Kuu ya Tanzania ilipitisha hukumu ya kihistoria katika suala zima la ndoa za utotoni.

20Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe
TUJIKUMBUSHE

Miriam Makeba ni mwanamke msanii ambaye aliyavutia mataifa mengi duniani.

20Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya masuala yaliyo katika mjadala mkali kwenye midomo ya watu wa kada mbalimbali katika siasa za Tanzania kwa hivi sasa, ni suala la Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), iliyoanzishwa na...

19Jul 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KATIKA taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari Julai mwaka jana kuhusu ajali za barabarani, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, alitaja vyanzo kadhaa vinavyochangia...

19Jul 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“JAWABU la kesho huandaliwa leo,” maana yake jibu utakalolitoa kesho litayarishe leo.

19Jul 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

KILIPOZINDULIWA kituo cha utamaduni cha Ufaransa- Alliance Francaise, jijini Dar-es-Salaam, kilichoambatana na maonyesho ya wiki mbili ya sanaa –kuchora, ufinyanzi na kuchonga-

19Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAHAKAMA ni moja ya mihimili ya dola iliyo na wajibu pamoja na mambo mengine, wa kuhakikisha raia wanapata haki zao za kisheria kama ilivyoanishwa ndani ya katiba.

18Jul 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

TANGU Simba ilipoingia katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2003, Tanzania ilikuwa haijaingiza tena timu yoyote katika hatua hiyo kwa miaka 12.

18Jul 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MABINGWA wa soka nchini, Yanga imecheza mechi tatu za hatua ya makundi katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika huku ikiambulia pointi moja pekee na goli moja.

17Jul 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

WIKI hii tunaendelea na fululizo wa makala zinazozungumzia mawe kwenye figo na ndani ya mfuko wa nyongo.

17Jul 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

KATIKA shule moja ya msingi jijini Mbeya, kuna taarifa kuwa wanafunzi wanashirikiana matundu ya vyoo na walevi kwa sababu ya shule hiyo kukosa uzio.

17Jul 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

LENGO la nne la Malengo Endelevu ya Milenia (SDGs) ni elimu bora, ambayo utekelezaji wake ni pamoja na kuhakikisha mazingira ya kujifunzia kwa mwanafunzi ni bora kuanzia vifaa, walimu na...

Pages