SAFU »

24Sep 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

KUNA tabia ya baadhi ya madereva wa malori kutumia barabara kama wanavyotaka na kutishia maisha ya madereva wengine hasa magari madogo, bodaboda na mabasi ya abiria.

24Sep 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

MOJA ya mambo yanayokera wasafiri wengi ni kudakwa juu juu na wapiga debe ambao wakati mwingie huvuka mpaka.

24Sep 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

USAFIRI wa reli unachukulia na abiria wengi kuwa ni salama zaidi ikilinganishwa na wa barabara, hususan kwa nchi zinazoendelea.

23Sep 2017
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

KUFUATIA kauli ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ,aliyoitoa Septemba 13, mwaka huu akisema: ''Nina uwezo wa kumzuia Zitto kuzungumza mpaka mwisho wa Bunge, kwani...

23Sep 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya watu wasiojulikana au tuseme wahalifu wanaojulikana lakini wakiitwa wasiojulikana kuwa tishio kayani. Natangaza rasmi kupambana nao.

23Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UKWELI unapojulikana uongo unajitenga. Methali hii yatukumbusha kwamba ukweli wa jambo fulani utokeapo, uongo unaolihusu hautambuliwi tena au hauna nafasi.

22Sep 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KIMSINGI kila Mtanzania kwa sasa anapaswa kuwa na wajibu wa kumuunga mkono Rais John Magufuli katika vita ya kupigania maliasili ya nchi, na kwa muktadha wa safu hii kwa leo madini ya tanzanite na...

22Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

WAKATI akiwa Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro aliwahi kutoa taarifa za makusanyo ya fedha za makosa mbalimbali yanayotokana na kuvunja sheria za usalama barabarani kuwa...

21Sep 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KIMSINGI kila binadamu angependa na anaomba kuwa na afya njema kwa sababu bila afya bora ni vigumu kupiga hatua za kimaendeleo.

20Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KARIBU kila kona ya Tanzania kilichokuwa kikizungumzwa na wananchi ni kuilalamikia serikali kwamba ilishindwa kutimiza wajibu wake kikamilifu na kusababisha ugumu wa maisha na hivyo wakawa...

20Sep 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WATUMISHI wa umma wanalalamikia uhaba wa nyumba na matatizo ya makazi. Tena kuna baadhi wanaishi kwenye nyumba za mabati wakiiziita fulu suti ambazo zi nakuwa na joto kali wakati wa kiangazi na...

19Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

KILA neno lina wakati wake au kipindi ambacho linasibu ama linafaa.

19Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

CHAMA cha Wafugaji Tanzania (CCWT) kimeanza mkakati wa kuwahimiza wafugaji kuhakikisha wanajenga nyumba za kudumu kwenye maeneo wanayopewa na serikali, ili kuondokana na mtindo wa kuhamahama.

Pages