SAFU »

01Oct 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, wiki mbili mfululizo, nimekuletea hapa kisa cha bibie mmoja ambaye yuko njia panda asijue cha kufanya kwa kile alichosema kwamba hivi sasa ana miaka 46 hana mume wala mtoto.

01Oct 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

WAFUGAJI wenye mifugo mingi na ambao hawafugi kibiashara , wanaendelea na utamaduni wa kizamani wa kuangalia makundi makubwa yenye wanyama wengi, ambao huharibu ardhi na hifadhi za wanyamapori...

30Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘CHIRWA’ ni ugonjwa wa watoto wa kutokuwa na afya njema kutokana na kutokula chakula chenye lishe ya kutosha; kwashiakoo, utapiamlo, unyafuzi.

30Sep 2017
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

“ELIMU ni ufunguo wa maisha.” Ni kauli ya kihenga ambayo maana yake ni kama kusema bila kuwa na ufahamu, ujuzi pamoja na maarifa binadamu hatamudu maisha kikamilifu.

30Sep 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

WATASHA husema kuwa ukiwa na nyundo, kila kitu hugeuka msumari. Hivi karibuni walevi walishangilia sana kabla ya kushangaa na kujishangaa baadaye wataalamu walipotoa maangalizo yao.

29Sep 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WANAFUNZI wenye uwezo mdogo darasani ni jukumu la walimu kuwasaidia na sio kuwahamisha shule.

28Sep 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mjadala

Ukiuliza leo, umaarufu wa Kibiti ni nini? Mtu atakujibu biashara zilizoshamiri katika maeneo mbalimbali, hasa katika barabara kuu kati ya Dar es Salaam na Mtwara.

27Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

WAKATI akiwa Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro aliwahi kutoa taarifa za makusanyo ya fedha za makosa mbalimbali ya barabarani kuwa yalifikia milioni 840 katika kipindi cha siku...

27Sep 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya mada zinazovuta mjadala mkubwa sehemu yoyote ile na katika kada mbalimbali za kimaisha, huwa ni ya maendeleo.

26Sep 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HILI lililotokea katika kijiji cha Mlamleni wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, ni maajabu ya mchana.

26Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

JUZIJUZI nilimtumia salamu rafiki na mwalimu wangu Mohamed Sharif naye bila ajizi alinijibu akinitakia amani ya Mwenyezi Mungu:

25Sep 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’ katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyopita ilicheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Botswana kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

25Sep 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

SARE ya mabao 2-2 ambayo Simba iliipata Alhamisi iliyopita dhidi ya Mbao FC, imezua mjadala mkubwa.

Pages