SAFU »

01Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA maisha ni muhimu kupata elimu ya uraia ambayo ni mafunzo yanayotolewa kwa wananchi kwa kuwapa stadi na ufahamu, maadili, maarifa na mwelekeo unaowawezesha kushiriki kwenye masuala ya umma...

30Nov 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKULIMA na hasa wadogo wadogo nchini ni moja ya kundi, linaloonekana kuwa na watetezi wengi.

30Nov 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MAADHIMISHO ya Siku ya Ukimwi Duniani kwa mwaka huu wa 2017 yamewadia huku serikali ikiwataka Watanzania kubadili tabia ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa huo hatari ambao hadi sasa hauna tiba.

29Nov 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

UKISOMA vitabu vitakatifu vimekataza umwagaji damu wa namna yoyote ile.

29Nov 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA 1973, serikali ilianza mpango wa kuhamisha makao makuu ya nchi kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma, hata hivyo kwa miaka mingi mpango huo ulikuwa unasuasua.

28Nov 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

MOJA ya vipaumbele vya serikali ya Rais John Pombe Magufuli, ni cha kukusanya kodi.

28Nov 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UNAPOTAJA CCBRT, ni taasisi iliyopo nchini, inayotoa huduma za afya. Eneo moja walilobobea ni ya kutoa huduma za kuzuia ulemavu, matibabu na utengamao, na kuwawezesha watu wenye ulemavu na familia...

27Nov 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

WIKI iliyopita tulishuhudia Mbeya City ikikumbana na kipigo cha paka mwizi cha mabao 5-0 dhidi ya Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga.

27Nov 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIKIKIMIKIKI ya Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa 11 inategemewa kuendelea tena leo kwa mchezo mmoja kati ya Azam FC watakaowakaribisha Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini...

26Nov 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

NOVEMBA 25 hadi Desemba 10 kila mwaka dunia inatekeleza kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. Ni wakati wa kutafakari na kukumbusha jamii kukemea na kuondoa ukatili dhidi ya wanawake,...

26Nov 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, wiki moja iliyopita tuliwasikia wasomaji wetu wengi waliobahatika kusoma mfululizo wa makala za safu hii kuhusu siri iliyojificha kwenye mikono yetu, mingine ikiwasha-washa.

26Nov 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

WAGOMBEA 155 wa udiwani kutoka vyama mbalimbali vya siasa leo wanachuana katika uchaguzi mdogo unaofanyika katika kata 43 za Tanzania Bara.

25Nov 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UKIACHA moja ya wilaya za Tanzania Bara kuwa na jina la Mafia, lakini kwa maana inayojulikana zaidi kimataifa, ‘Mafia’ ni chama cha siri katika kisiwa cha Sisilia, Italia na Marekani...

Pages