SAFU »

07Dec 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

USAFI wa mazingira katika sehemu ya biashara ni kitu muhimu sana kwa afya ya walaji.

06Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mjadala

KATIKA siku za hivi karibuni tumeshuhudia wimbi katika uga wa kisiasa la wanasiasa wakihama vyama vyao, kutoka chama kimoja kwenda kingine.

06Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CHAMA cha siasa cha ACT- Wazalendo kimeondokewa na wanachama wake wakiwamo viongozi wa juu hali inayoashiria kwamba huenda kikajikuta katika mazingira magumu iwapo viongozi wake hawatachukua hatua...

05Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

LEO naja na maneno yanayotumiwa kinyume kabisa na maana yake. Tabia hii huanzishwa na chombo kimoja cha habari na kesho yake vyombo vyote hufuata mkumbo.

05Dec 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIONGONI mwa vipaumbele ambavyo vimesimamiwa vyema na Rais John Magufuli katika kipindi chake cha miaka hii miwili ni eneo la maadili ya watumishi wa umma.

05Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KWA kawaida msingi wa maisha ya afya ya binadamu ni usafi wake wa mwili na mazingira, hivyo usafi ni dhana shirikishi ikijumuisha kuanzia mtu mmoja mmoja, familia na hata kwingineko.

04Dec 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Mjadala

JANA klabu ya Simba ilifanya mkutano wake mkuu wa dharura ukiwa na ajenda kuu moja ya kupokea ripoti ya kamati ya zabuni ya klabu hiyo.

04Dec 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA wakati huwa najiuliza kwa nini Ukanda wa Afrika Mashariki uko nyuma sana kisoka, kuliko kwingine?

03Dec 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

KUFAHAMU matumizi bora ya  barabara na sheria zake si jambo linalowahusu madereva wanaoendesha vyombo vya moto pekee  bali hata  wengine wote wanaotumia barabara hizo. Elimu hiyo itasaidia ...

03Dec 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
NAWAZA KWA SAUTI

ILI nchi iwe na uzalishaji bora pamoja na mambo mengine ni lazima kuwa na umeme wa uhakika.

03Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

KAMA ilivyo ada ya Rais John Magufuli, hivi karibuni aliibuka ghafla katika Bandari ya Dar es Salaam na kubaini kuwapo kwa magari madogo 50 ya kubebea wagonjwa yaliyokwama hapo kwa muda mrefu.

02Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ANAYESIFIKA majini ni samaki aitwaye papa kumbe kuna wengine pia.

02Dec 2017
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

KUPEKUA ili kupata taarifa ni hatua inayochukuliwa na mamlaka za usalama  katika  maeneo   mbalimbali   kuanzia kwa mtu binafsi, makazi   ya watu, inawezekana ni  nyumbani, mabwenini, hotelini,...

Pages