SAFU »

05Apr 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BUNGE la bajeti ya mwaka 2017/ 2018 lilianza vikao vyake mjini Dodoma jana na linatarajiwa kuendelea hadi mwishoni mwa mwezi Juni 30 mwaka huu litakapohitimisha vikao hivyo.

04Apr 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

CHAMA Cha Wafugaji Tanzania (CCWT) kimeanza mkakati wa kuwahimiza wafugaji kuhakikisha wanajenga nyumba za kudumu kwenye maeneo wanayopewa na serikali ili kuondokana na mtindo wa kuhamahama.

04Apr 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

WASOMAJI wengi wa safu hii wamekuwa wakinipigia simu kutaka kujua chimbuko la lugha ya Kiswahili.

04Apr 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

SIFA kubwa ya Mwalimu Julius Nyerere, inayomfanya aendelee kuishi mpaka sasa japokuwa ameshatangulia mbele ya haki, ni uhai wa kauli zake mbalimbali alizozitoa katika majukwaa tofauti aliyoalikwa...

03Apr 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

YANGA ilipata ushindi wa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam dhidi ya Azam FC.

03Apr 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TOKEA utolewe wito wa kusaka vipaji shuleni na vijijini kwa viongozi wa michezo nchini suala hilo bado limeonekana kutokutiliwa mkazo na viongozi wa soka hapa nchini na kuonekana kuna dalili zote...

02Apr 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, hebu leo tuangalie roho ya madeni ambayo imekuwa kikwazo kikubwa katika nyingi ya familia zetu. Huu pia waweza kuiita ni aina ya utumwa wa madeni.

02Apr 2017
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

Kamba za katani ambazo kwa kipindi kirefu zilionekana kutokuwa na faida kubwa, zimefanyiwa utafiti na kuthibitika kuwa ni kinga kubwa ya malaria kutokana na kuwa ni sumu kwa mbu wanaoambukiza...

01Apr 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

JUZI nikiwa zangu kwenye misele si nikajikuta nipo kwenye ufunguzi wa barabara za ghorafa kwenye kaya ambayo si barabara kiuongozi ukiachia mbali kuwa fiti kiuongo.

01Apr 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LEO Jumamosi, wapenzi wa kandanda Tanzania na nchi jirani watazikodolea macho runinga ya Azam TV wakati Yanga SC ikipambana na Azam FC Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

31Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WATAALAMU wa maendeleo wanakubaliana kuwa kigezo kimojawapo kisicho na shaka cha kupima maendeleo ya taifa na watu wake ni kuangalia afya ya wananchi wake.

30Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WATUMIAJI wa simu za mkononi nchini hadi Desemba mwaka jana takwimu zinasema wamefikia milioni 40.1 6 kutoka milioni 2.1 takribani miaka 10 iliyopita.

29Mar 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI mwingine huwa nahoji kuna maana gani kuwa na vyama vya upinzani bungeni kama vinapoishauri serikali iliyopo madarakani ushauri wake haufanyiwi kazi hata ukifanyiwa kazi basi utekelezaji...

Pages