SAFU »

11Apr 2017
Faraja Ezra
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI dhahiri kwamba Tanzania ni miongoni mwa nchi za barani Afrika zilizojaliwa kuwa na rasilimali nyingi za asili.
Rasilimali zinazoendelea kuipatia umaarufu na hivyo kuipatia fursa ya...

11Apr 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

KATIKA jitihada za kufungulia fursa za ukuaji uchumi wa nchi kwa ujumla na kuchochea ustawi wa maisha bora kwa Watanzania wote, serikali ya Awamu ya Nne, chini ya uongozi wa Rais Mstaafu, Dk....

11Apr 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

NIMEPATA mrejesho kutoka kwa wasomaji mbalimbali kuhusu makala niandikazo kusahihisha maneno yatumiwayo vibaya na waandishi au watu wazungumzavyo mitaani.

10Apr 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

NAKUMBUKA mwaka jana Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Mohamed Kiganja aliposimamisha mabadiliko ya uendeshaji kwenye klabu kongwe za Simba na Yanga. Akasema kuwa mpaka pale...

10Apr 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SAKATA linaloendelea kwa sasa kwenye medani ya soka hapa nchini ni juu ya mchezaji wa Kagera Sugar, beki wa kati Mohamed Fakhi.

09Apr 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

HATIMAYE awamu ya kwanza ya utekelezaji wa uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma imekamilika hivi karibuni baada ya wizara zote kuhamia mjini humo.

09Apr 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, wiki iliyopita nilichambua mada iliyobeba  kichwa cha maneno ‘Roho ya madeni inavyoweza kutesa familia’.

08Apr 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI heri kusema ukweli mchungu kuliko uongo mtamu. Methali hii yatufunza umuhimu wa kuukabili ukweli ijapokuwa una uchungu kuliko kuushabikia uongo.

07Apr 2017
Faraja Ezra
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

PAMOJA na kwamba hivi sasa tunaishi katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia, suala la unyanyasaji wa kijinsia na hasa kwa watoto wa kike, linaonekana kukithiri, kama si la kudumu kwa baadhi ya...

07Apr 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

NI dhahiri unapofanya mabadiliko ya juhudi unazowekeza katika biashara, mwenendo wa biashara nao hubadilika.

07Apr 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

ILI mwalimu aweze kuanza mchakato wa kustaafu ni lazima kufanya hivyo miezi sita kabla kwa kuwa na Fomu ya Historia (history sheet) yenye taarifa zake muhimu.

06Apr 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

INAWEZEKANA likaonekana kama jambo la kawaida kwa sababu linaendelea kutokea kila uchwao bila kuwapo kwa mkakati maalum wa kumaliza tatizo hili ambalo limekuwa likiwakabili wanafunzi na hasa wa...

06Apr 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ZAIDI ya nusu ya Watanzania ni watoto. Hivi sasa, kuwekeza kwa watoto kunanufaisha familia zetu, jamii zetu na ni kwa mustakabali wa taifa.

Pages