SAFU »

14Oct 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HAKUNA ubishi kuwa Simba na Yanga ndizo kongwe nchini na kwa sababu hiyo ndizo zenye wanachama na mashabiki wengi zaidi nchini.

14Oct 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BABA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ‘ Mchonga’, shikamoo tumekumisi watoto wako.

13Oct 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), iliungana na wadau wote duniani katika kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani, ikitoa wito kwa jamii ya Watanzania, kuondoa vitendo vyote...

13Oct 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUMEKUWAPO na tabia ya baadhi ya madereva wa magari ya mizigo wanaobeba abiria kwa kuwatoa katika eneo moja kuwapeleka kwingine, katika staili isiyosimamia kabisa usalama wa abiria hao.

13Oct 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUMEKUWAPO na tabia ya baadhi ya madereva wa magari ya mizigo wanaobeba abiria kwa kuwatoa katika eneo moja kuwapeleka kwingine, katika staili isiyosimamia kabisa usalama wa abiria hao.

12Oct 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI upungufu wa mabweni ni tatizo linalozikabili shule nyingi nchini, sekondari ya Nyange iliyopo Kata ya Kidatu wilaya ya Kilombero, ni miongoni mwa zinazikabiliwa na tatizo hilo.

12Oct 2017
Theodatus Muchunguzi
Nipashe
Mjadala

JANA Dunia iliadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike. Lengo la maadhimisho ya siku hiyo yaliyotangazwa na Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2011, ni kuikumbusha jamii kuhusu malezi bora ya mtoto wa kike.

11Oct 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CHANGAMOTO ambazo zimetokana na mabadiliko yanayotaka sasa wahitimu wa kidato cha sita ama ngazi ya stashahada kuomba nafasi za kujiunga na elimu ya juu moja kwa moja vyuoni kumenifanya nilonge...

10Oct 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

TAKWIMU zilizowahi kutolewa mwanzoni mwa mwaka huu na Kaimu Ofisa Elimu Sekondari Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Salome Msegeya zilionyesha kuwa wanafunzi 42 wa shule za msingi na sekondari...

10Oct 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

YUMKINI katika jamii, viongozi wa dini ni moja ya watu wenye ushawishi mkubwa katika mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na suala zima la maendeleo ya watu.

10Oct 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

NENO ‘matumizi’ lina maana mbili: Kwanza ni namna ya kutumia fedha au chombo kinachoweza kufanikisha jambo fulani. Pili ni –enye kutumika.

09Oct 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TIMU yetu ya Taifa, Taifa Stars, juzi ilicheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

08Oct 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

Mpenzi msomaji, kipo kisa kimoja nilisimuliwa majuzi nikaona nikushirikishe. Wapo watu waliozoea vitu vya bure lakini wanapopewa masharti wanaanza kubabaika.

Pages