SAFU »

08May 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

NI ugonjwa unaoathiri namna ambavyo mwili wa binadamu unavyotumia sukari iliyopo kwenye damu au glukosi ambayo ni muhimu kwani ndiyo chanzo kikuu cha nguvu katika chembe hai.

08May 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, bado tuko kwenye swali kwamba ‘Nini maana ya Ndoa’ ambapo kwa tafsiri nyepesi nilisema ni muungano kati ya mwanamke na mwanaume unaokubalika kiutamaduni na kidini ambao unatarajiwa...

08May 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MWISHONI mwa mwaka jana ripoti za wachumi zilionyesha Tanzania inapoteza Sh. bilioni 4 kila siku kutokana na foleni za magari zinazosababisha watu kuchelewa kufika kwenye shughuli zao za kila siku...

07May 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

FURIKO la juzi lililolipiga jiji la Bongolala limenifanya niichukie Bongo niliyoipenda kuliko hata bi mkubwa. Mwenzenu naamua rasmi kubwaga manyanga.

06May 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

WIKI iliyopita katika safu hii , tuliangazia kuhusu umuhimu wa mfanyabiashara kujali muda kwenye biashara yake.

06May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KITUO cha Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi jirani Ubungo(UBT), kinategemewa na wakazi wa jiji la Dar es Salaam pamoja na watokao na kwenda mikoa mbalimbali na nchi jirani.

05May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI wazazi nchini wanamiliki magari binafsi. Umuhimu wa chombo hicho ni kumuwezesha mmiliki kurahisisha usafiri kutoka eneo moja kwenda jingine.

04May 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI wa kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka jana Rais wa sasa John Magufuli alitoa ahadi nyingi kwa Watanzania.

03May 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MVUA zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini zimekuwa zinasababisha madhara makubwa maeneo mbalimbali.

03May 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

Nitazungumzia mambo kadhaa! La kwanza ni kuhusiana na mtalaa wenyewe!

03May 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

LUGHA ya Kiswahili ina maneno mengi tusiyoyajua ingawa yamefafanuliwa kwa ufasaha katika kamusi mbalimbali.
Tuchukue mfano wa neno ‘abiri.’ Ni neno lenye maana zaidi ya moja kutegemea...

02May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WANASHERIA wana msemo usemao haki si tu itendeke, lakini ionekane imetendeka.

02May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KUNA wakati nchi hii inashangaza sana, ndiyo maana wananchi wengi wamekuwa wakimuunga mkono rais John Pombe Magufuli katika harakati zake za kutumbua majipu.

Pages