SAFU »

25Oct 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

UCHAGUZI wa marudio katika kata 43 unatarajiwa kufanyika Novemba 26 mwaka huu ukiwa umetanguliwa na kampeni zitakazoanza mwishoni mwa mwezi huu wa Oktoba.

25Oct 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UWANJA wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, ndio mpaka mkubwa wa kupokea wageni wote wanaoingia na kutoka nchini kwa malengo tofauti tofauti.

24Oct 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

MOJA ya majukumu ya wizara ni kutunga sheria, sera na miongozo mbalimbali itakayotekelezwa na watendaji wa ngazi mbalimbali zilizo chini yake katika suala zima la kusukuma gurudumu la maendeleo...

24Oct 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UTAFITI mpya uliotolewa kwenye Jarida la Tiba la Lancet wiki iliyopita unaonyesha kwamba uchafuzi wa mazingira sasa unaua watu wengi zaidi duniani kuliko vita au sigara.

23Oct 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KUMEKUWA na idadi ndogo ya mabao kufungwa kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

23Oct 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADA ya kichapo cha mabao 4-0 dhidi ya Simba Jumamosi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, hali imeendelea kuwa mbaya kwa timu ya Njombe Mji.

22Oct 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

OKTOBA 13 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa. Maadhimisho haya ni utekelezaji wa Azimio Na. 64/200 lililopitishwa na Baraza la Umoja wa Mataifa Desemba 21, 2009.

22Oct 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, wiki iliyopita nilikuletea hapa makala iliyouliza; Umewahi kujua mikono yako imeficha siri kubwa? Makala ile iligusa watu wengi ambao walituma ujumbe kuelezea matatizo yao kama...

22Oct 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA huu ulishuhudia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipiga marufuku uzalishaji na unywaji wa pombe za viroba na sasa huenda Tanzania bila viroba imewezekana .

21Oct 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘KISIKI’ ni kipande cha mti kilichobaki katika ardhi baada ya mti kukatwa. Maana yake kisiki nikunguwae nipate sababu.

21Oct 2017
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

BOMOA BOMOA ndiyo habari ya mjini, inapita kwenye maeneo ya wazi, hifadhi na kando ya barabara , kwenye mito na pale ambako sheria imevunjwa na kuvamia ardhi.

20Oct 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UBORA wa miji, iwe katika ngazi yoyote, jiji, manispaa au mji mdogo, usafi una nafasi yake. Katika hilo ndilo linalofanya halamshauri zote za miji, katika ngazi mbalimbali, suala la usafi lina...

20Oct 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Mjadala

JAMBO ninalohitaji kulitamka hapa ni kwamba, katika maisha, suala la kupata chakula haliishii katika umuhimu pekee, bali linaenda mbali kwamba ni lazima, kwa mujibu wa maumbile ya asili ya...

Pages