SAFU »

03Sep 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

USAJILI wa ‘laini’ za simu umekuwa wa kienyeji kiasi cha kupoteza maana kama ilivyokuwa lengo la awali la serikali kutaka kila mtu kusajili namba yake kwa ajili ya usalama na asipofanya hivyo...

02Sep 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

KAMA mtume Po alivyoona mwanga akaanguka na kuokoka nami nimetokewa na yeye aliye juu; ameniamru nianzishe chuo ili kurejesha maadili na kuondoa wadhambi kayani. Hivyo, nitaitwa nabii wa maadili...

02Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SUALA la klabu ya Simba kutwaliwa na wenye hisa, hapana shaka linawakumbusha wana Yanga enzi za uongozi wa kina Abbas Tarimba na George Mpondela ‘Castro’ (marehemu).

01Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

OFISI ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, iliwahi kusema kuwa inakamilisha majadiliano ndani ya serikali na baadaye kuwahusisha wadau kuhusu dhamira ya kupiga marufuku moja kwa moja matumizi...

01Sep 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

YUMKINI katika dhamira yake ya kuwaletea maendeleo na ustawi wa maisha yao kwa ujumla, serikali imekuwa ikitumia kiasi kikubwa cha rasilimali zake kujenga miradi mikubwa na ya aina yake katika...

31Aug 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADA ya kutokea ajali iliyochukua uhai wa wanafunzi 32, dereva na walimu wawili wa Shule ya Lucky Vincent, jijini Arusha, Mei 06, mwaka huu, umuhimu wa kufanya ukaguzi kwenye magari ya wanafunzi...

30Aug 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUMEKUWA na mtazamo wa siku nyingi kwamba wahitimu kutoka vyuo vya Kitanzania wanakosa ujuzi katika kiwango kinachotakiwa kulingana na taaluma wanazokuwa wamezisomea.

29Aug 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KIMSINGI kichocheo kikubwa cha mimba za utotoni ni umaskini katika ngazi ya familia na kuchangiwa wasichana kushawishiwa kwa urahisi, makundi rika na ukosefu wa elimu sahihi ya mabadiliko ya miili...

29Aug 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“UNAPOBEBWA na mtu usiifanye miguu yako kuwa mizito kwa kuwa utaifanya kazi ya anayekubeba kuwa nzito na kumfanya akubwage chini.

29Aug 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA mujibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), watumiaji wa simu za mkononi nchini hadi Desemba mwaka jana wamefikia milioni 40, kutoka idadi ya takribani miaka 10 nyuma walikuwa milioni 2....

28Aug 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

MASHABIKI wa Simba walitoka uwanjani wakifurahia timu yao kuwabwaga mahasimu wao wa jadi, Yanga na kutwaa Ngao ya Jamii kwa mikwaju ya penalti 5-4 Agosti 23, mwaka huu.

28Aug 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TAYARI pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara limefunguliwa kwa Jumamosi kuchezwa michezo saba kwenye viwanja saba tofauti huku mchezo mmoja tu ukiwa ndio uliochezwa jana.

27Aug 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

WIMBI la watoto wa kiume na wa kike wanaokaa barabarani kuomba pesa kwa madereva na wanaopita kwenye barabara hizo limezidi kuongezeka jijini Dar es Salaam, hali inayohatarisha usalama wa maisha...

Pages