SAFU »

09Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘UMBEA’ ni tabia ya kutoa habari bila ya kutumwa au kuulizwa; udaku, udakuzi; tabia ya kufuatilia au kusikiliza habari za watu wengine bila kutumwa.

09Sep 2017
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

HIVI kama taifa imetokea kupasua vichwa na kujiuliza ni nini hasa chanzo cha tatizo la ujauzito kwa wanafunzi?

08Sep 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAPIGADEBE kuendelea kung’ang’ania vituoni ndicho kinachowafanya wengi kuhisi kuwa huenda ilikuwa ni nguvu ya soda kutangaza kuwa wangeondolewa ili kumaliza kero zisizo na sababu vituoni.

07Sep 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

NIMEKUWA mmoja wa watu walio na mtazamo wa upande unaoikubali dhana ya maendeleo kuwa na maana pale inapohusisha maendeleo ya watu na siyo ya vitu.

07Sep 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA msemo wa wahenga kuwa elimu haina mwisho, hivyo hata kama unajiona umeelimika bado una wajibu wa kujifunza kwa wale walio na mafanikio zaidi.

06Sep 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UPITAPO katika vituo vikubwa vya daladala nyakati za asubuhi, mchana ama jioni utawaona watoto wakirandaranda na kutokuwa na kazi yoyote wanayoifanya.

05Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MIGOGORO ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima ni moja ya changamoto kubwa ambayo imeikabili nchi kwa muda sasa kutokana na jinsi ambavyo imekuwa ikiibuka kila mara huku na kule na kusababisha...

05Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

MOJA ya magazeti ya michezo yanayochapishwa humu nchini, liliandika kwa herufi kubwa, nyeusi ti: “TUNALIAMSHA DUDE UPYA.”

05Sep 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKULIMA na hasa wadogo wadogo nchini ni moja ya kundi, linaloonekana kuwa na watetezi wengi.

04Sep 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

PIUS Buswita, kiungo wa zamani Mbao FC hivi sasa amekuwa maarufu sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na si kwa sababu ya kuanza vizuri au kung'ara kwenye mechi za Ligi Kuu au...

04Sep 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’ juzi ilicheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Botswana kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

03Sep 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Novemba 17, mwaka huu kinaadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, mwaka 1987.

03Sep 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, leo niwageukie vijana wetu tena kuona yale yanayowasibu katika mahusiano. Wapo wanaodhani kuwa kuoa au kuolewa ni jambo jepesi, hivyo kuwa na shauku kubwa kujitosa katika uwanja...

Pages