SAFU »

15Nov 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewapa rungu wabunge wa CCM na kuwataka wafunguke wakati wa mijadala na sio kusimama, kupongeza, kuunga hoja na kukaa chini.

15Nov 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UONGOZI wa serikali za mitaa ni chombo muhimu katika jamii, kwani ndio ofisi zilizo karibu sana na wananchi na kiungo muhimu kati ya serikali na wananchi wake.

14Nov 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KARIBU miji yote mikubwa na majiji yanakabiliwa na wingi wa vijana ambao wamekuwa wakishinda kwenye vituo vya daladala wakiomba fedha kwa makondakta kila wanapoita abiria.

14Nov 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA sura mbalimbali za kundi la watu ‘wanyonge’ ama walioko pembezoni katika jamii kihistoria.

13Nov 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

NADHANI si watu wengi waliogundua kitu kinachoendelea kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa.

13Nov 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’ jana ilicheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Benin ikiwa ni baada ya hivi karibuni kucheza dhidi ya Malawi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na...

12Nov 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, wiki iliyopita niliahidi kukujuza baadhi ya aina za mikono, nikataja mikono ya kurithi, mikono ya hasara, mikono ya utajiri na mikono yenye damu.

12Nov 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

YAPATA mwezi mmoja na nusu sasa katika baadhi ya mitaa ya Boko, jijini Dar es Salaam, hakuna huduma ya kuzolewa taka kwenye nyumba za wananchi. Baada ya kusikia kilio chao najiuliza hivi malundo...

12Nov 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MIONGONI mwa changamoto zinazowakabili baadhi ya wanafunzi wa kike hapa nchini ni mimba, ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikichangia kuvuruga ndoto zao za baadaye na kujikuta wakiwa wazazi japo...

11Nov 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘SHINDANO’ ni kitendo cha kupimana uwezo katika jambo kama vile mchezo; makabiliano yenye lengo la kuwania jambo baina ya pande mbili au zaidi.

11Nov 2017
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

MAUDHUI ya makala hii ni kuwahusu wajane ambao kisheria, sura ya 29 ya Sheria ya Ndoa, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2010, pamoja na Sheria ya Usimamizi na Uendeshaji wa Mirathi,...

10Nov 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Mjadala

PAMOJA na kuwapo vifaa vya kuhifadhi taka katika magari ya abiria, baadhi yao wamekuwa sio wastaarabu, kwa kutupa chupa za maji au mabaki ya vitu walivyokuwa wakila, chini ya viti au nje kupitia...

10Nov 2017
Amri Lugungulo
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UNAPOFIKA katika mji wa Ifakara, mkoani Morogoro kwa mara ya kwanza wakati wa msimu wa mavuno ya embe, utakutana mambo ya kushtusha na kushangaza ambavyo huwezi kuvumilia kutoa ushauri .

Pages