SAFU »

26Jun 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

MCHEZO wa mpira wa miguu ni wa kiungwana. Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), linahimiza hivyo kwa kutumia kauli mbiu yake maarufu 'fair play'.

26Jun 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘BURUDANI’ ni mambo yanayofanywa ili kustarehesha na kuchangamsha watu. ‘Kazi’ ni shughuli yoyote anayofanya mtu kwa ajili ya kupata riziki ya kuendeshea maisha yake.

25Jun 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, tuendelee kidogo kuichambua roho ya ujinga kwa kusikiliza shuhuda jinsi ilivyowatesa baadhi ya wanawake na kujikuta wakiweka mikono kichwani wasijue cha kufanya, baada ya kuingizwa...

25Jun 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

KITENGO cha meno cha Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam kinapaswa kuwa mfano wa kuigwa kutokana na kutoa huduma na utaratibu bora kwa wagonjwa wanaokwenda kutibiwa kwenye kitengo...

25Jun 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI inaelezwa kuwa inatumia Dola milioni 32, sawa na Shilingi bilioni 70 kila mwaka kwa ajili ya matibabu kwa wagonjwa wa saratani inayotokana na uvutaji wa sigara.

24Jun 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya wanene kutupiga changa la macho kuwa wale waliowaita majizi sasa ni “wanaume” kama alivyokaririwa mshua akisema, nimeamua kutia timu Ukanadani kudai changu. Kanada kwa sababu wale...

24Jun 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘TEGEMEA’ ni kitendo cha kuwa na tamaa ya kupata mahitaji kutoka kwa mtu au kitu; tumai.‘Tegemezi’ ni –enye kutumainia kiumbe kingine kwa mahitaji yake.‘Jitegemea’ ni –pata mahitaji ya lazima bila...

23Jun 2017
Faraja Ezra
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

DHANA ya elimu bure nchini inayotekelezwa nchini kwa sasa imetoa fursa kwa wananchi wengi, hasa wenye kipato cha chini katika kuwapunguzia mzigo wa ulipaji ada.

23Jun 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

SERIKALI imekuwa ikitumia Dola za Kimarekani milioni 32, sawa na Sh. bilioni 70 kila mwaka kwa ajili ya matibabu kwa wagonjwa wa saratani inayotokana na uvutaji wa sigara (tumbaku).

22Jun 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

USUGU wa foleni za magari katika jiji la Dar es Salaam si jambo geni. Watumiaji na wakazi wa jiji hilo ni shuhuda wa kile kinachoendelea siku hadi siku.
Kwamba, kama una safari ya haraka...

22Jun 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni taasisi ya TWAWEZA ilitoa matokeo ya utafiti wake katika ripoti iitwayo 'Matarajio na Matokeo, Vipaumbele, Utendaji na Siasa Nchini Tanzania', ukionyesha kiwango cha Rais Dk. John...

21Jun 2017
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

KUNA kila dalili kuwa, kasi ya maisha kupanda kuanzia mwaka ujao wa fedha wakati utekelezaji wa bajeti ya serikali utakapoanza kwa ongezeko la Sh. 40 kwa kila lita ya mafuta.

21Jun 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MJADALA wa katiba mpya jana uliibuliwa upya katika hafla maalum ya kutoa matokeo ya Utafiti wa Matarajio na Matokeo ya Vipaumbele, Utendaji na Siasa nchini uliofanywa na Taasisi ya Twaweza-

Pages