SAFU »

07Sep 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA msemo wa wahenga kuwa elimu haina mwisho, hivyo hata kama unajiona umeelimika bado una wajibu wa kujifunza kwa wale walio na mafanikio zaidi.

06Sep 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UPITAPO katika vituo vikubwa vya daladala nyakati za asubuhi, mchana ama jioni utawaona watoto wakirandaranda na kutokuwa na kazi yoyote wanayoifanya.

05Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MIGOGORO ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima ni moja ya changamoto kubwa ambayo imeikabili nchi kwa muda sasa kutokana na jinsi ambavyo imekuwa ikiibuka kila mara huku na kule na kusababisha...

05Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

MOJA ya magazeti ya michezo yanayochapishwa humu nchini, liliandika kwa herufi kubwa, nyeusi ti: “TUNALIAMSHA DUDE UPYA.”

05Sep 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKULIMA na hasa wadogo wadogo nchini ni moja ya kundi, linaloonekana kuwa na watetezi wengi.

04Sep 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

PIUS Buswita, kiungo wa zamani Mbao FC hivi sasa amekuwa maarufu sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na si kwa sababu ya kuanza vizuri au kung'ara kwenye mechi za Ligi Kuu au...

04Sep 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’ juzi ilicheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Botswana kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

03Sep 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Novemba 17, mwaka huu kinaadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, mwaka 1987.

03Sep 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, leo niwageukie vijana wetu tena kuona yale yanayowasibu katika mahusiano. Wapo wanaodhani kuwa kuoa au kuolewa ni jambo jepesi, hivyo kuwa na shauku kubwa kujitosa katika uwanja...

03Sep 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

USAJILI wa ‘laini’ za simu umekuwa wa kienyeji kiasi cha kupoteza maana kama ilivyokuwa lengo la awali la serikali kutaka kila mtu kusajili namba yake kwa ajili ya usalama na asipofanya hivyo...

02Sep 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

KAMA mtume Po alivyoona mwanga akaanguka na kuokoka nami nimetokewa na yeye aliye juu; ameniamru nianzishe chuo ili kurejesha maadili na kuondoa wadhambi kayani. Hivyo, nitaitwa nabii wa maadili...

02Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SUALA la klabu ya Simba kutwaliwa na wenye hisa, hapana shaka linawakumbusha wana Yanga enzi za uongozi wa kina Abbas Tarimba na George Mpondela ‘Castro’ (marehemu).

01Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

OFISI ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, iliwahi kusema kuwa inakamilisha majadiliano ndani ya serikali na baadaye kuwahusisha wadau kuhusu dhamira ya kupiga marufuku moja kwa moja matumizi...

Pages