SAFU »

14May 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

SERIKALI imechukua hatua dhidi ya mmiliki na Mkuu wa Shule ya Lucky Vincent, mkoani Arusha, kwa kosa la kuzidisha abiria kwenye gari ililokuwa limewabeba wanafunzi na walimu 35 ambao walifariki....

14May 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

HATA kama nchi itakuwa na wakaguzi wengi wa mabasi ya shule haitakuwa na maana kama wenye mabasi hayo na madereva watakosa maadili na ubinadamu wa kuwathamini na kuwapenda watoto.

14May 2017
Jenifer Julius
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

ASILIMIA kubwa ya wakazi wa miji wanategemea usafiri wa umma na wanapokuwa ndani ya daladala ndiko wanapopata fursa ya kutumia simu iwe kusoma ujumbe, kuandika ama kutongoa-kuchati.

13May 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

JUZI wakati waheshimiwa wa mjengoni wakijadili bajeti, pamoja na ulevi wangu, niligundua kitu ambacho wengi hawajaona. Kama si jamaa yangu mmoja, tena aliyekuwa akionekana msomi wa kweli mwenye...

13May 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NENO ‘chauchau’ lina mana mbili. Kwanza ni kitu anachotoa mtu kwa mwingine ili apate upendeleo; rushwa, mrungura/mlungula.

12May 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIANZE kwa kuwapa pole wakazi wa wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji mkoani Pwani, kwa matukio mbalimbali ya mauaji ambayo wamekuwa wakikumbana nayo yanayosababisha wapoteze ndugu, jamaa na...

12May 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

UMESHAWAHI kujiuliza kwa nini biashara yako haifanikiwi, inakufa au inazidi kupoteza wateja siku hadi siku ?

11May 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MVUA zinazoendelea nchini zimesababisha madhara mengi kwa watu, na miundombinu, vifo zaidi ya 40 vimeripotiwa katika maeneo mbalimbali ya nchi.

11May 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

UKICHUKUA takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) za hivi karibuni, kwa maana ya mwaka huu wa 2017, zinaonyesha kuwa takribani watu milioni 1.25 duniani hufa kila mwaka kutokana na ajali za...

10May 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CHAMA cha Wananchi (CUF), ni kati ya vyama vya siasa vinavyopitia misukosuko mingi, pengine kuliko vyama vyote tangu kuanza mfumo wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992.

09May 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WATAALAM wa uchumi wanaamini kwamba hakuna biashara inayoweza kuanzishwa kabla ya kufanyika uchambuzi yakinifu ili kujua soko la bidhaa liliko pamoja na ubora wa bidhaa itakayozalishwa kwa lengo...

09May 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

MTU anayetaka kujifunza hapaswi kuogopa kuuliza asilolijua. Hii ni methali ya kuwanasihi watu wasione haya au ubaya kuuliza kama wanataka kujifunza. Kuuliza si ujinga.

08May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2016/17 ukikaribia ukingoni, viongozi wa klabu na wachezaji wanaoshiriki ligi hiyo ya juu nchini wanatakiwa kuipitia kwa umakini mikataba waliyonayo ambayo...

Pages