SAFU »

22May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUMALIZIKA kwa msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2016/17 ndiyo inamaanisha kuwa maandalizi ya msimu ujao wa ligi hiyo ya juu nchini yanatakiwa kuanza mara moja kwa klabu zote 16 zinazotarajiwa...

21May 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, baada ya kujadili masuala ya wakwe na pia roho ya umasikini na aina zake hivi karibuni, hebu leo tugeukie kidogo mahusiano ya vijana wetu, kisha tutarudia roho zinazotesa wengi....

21May 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

MOJA ya eneo linalotesa mamlaka kwa sasa ni mauaji ya viongozi mbalimbali wilayani Kibiti mkoni Pwani, watu 31 wameuawa kwa kupigwa risasi na hadi sasa haijajulikana sababu halisi ya yote hayo....

21May 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MITIHANI ya upimaji, maarifa na ile ya kuhitimu kidato cha nne unaoandaliwa na Baraza la Mtihani la Taifa (Necta)-

20May 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“HAKUNA marefu yasiyokuwa na ncha.” Maana yake hakuna mambo yasiyokuwa na mwisho. Methali hii hutumiwa kumliwaza mtu aliye katika matatizo fulani kuwa lazima yatafikia mwisho.

20May 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

JAPO vitabu vya dini vinatuzuia tusihukumu ili tusije kuhukumiwa, kuna wakati mwingine hakuna namna bali kuwa jaji na kufanya kweli. Mlevi siogopi kuhukumiwa hasa ninapowahukumu wanaopaswa si...

19May 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

WAPENZI wa safu hii, tumeangalia mambo mbalimbali katika mtazamo wa kibiashara ambayo yanaweza kumfanya mfanyabiashara wa ngazi yoyote au yule anayekusudia kuanzisha biashara afaulu.

19May 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni alikaririwa hivi karibuni bungeni akisema kuwa bado kuna haja ya trafiki kuongoza magari kwenye makutano ya barabara, pamoja na hatua...

18May 2017
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

Je, kila mtu anastahili kuwa dereva wa magari ya shule na abiria? Dereva ni kila anayeendesha gari barabarani? Madereva wa mabasi ya shule wanafundishwa wapi na mafunzo yao yanasimamiwa kikamilifu...

18May 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UZOAJI wa taka baada ya mvua mfululizo kwa kipindi cha wiki karibu tatu jijini Dar es Salaam, unasuasua kwa mitaa kadhaa unakabiliwa na hali hiyo.

17May 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 ukiendelea, wabunge wamejitokeza kupaza sauti zao zinazoitaka serikali ya Dk. John Pombe Magufuli itimize jukumu lake la kutatua kero mbalimbali za wananchi...

16May 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

‘UMAKINIFU’ ni tabia au hulka ya kufanya jambo kwa kufuata taratibu zote, hali ya kuwa makini; utulivu; hali ya kufanya jambo kwa kutulia.

16May 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI sasa katika maeneo mbalimbali nchini, vijijini na hata mijini, kuna mvua. Hivyo, ni vyema wananchi wakazitumia kupanda mazao, ili kuondokana na njaa.

Pages