SAFU »

22Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

MIKOPO mingi ukiachia ile ya vichochoroni, hata baadhi ya mabenki yamekuwa yakitoza riba kubwa kiasi kwamba mwisho wa siku mtu unajikuta una zigo kubwa la kutua.

21Sep 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHUGHULI kubwa ya kiuchumi kwa Watanzania walio wengi nchini, kimsingi ni kilimo.

21Sep 2016
Richard Makore
Nipashe
Mjadala

HAKUNA jambo jema sana la kiungwana kama mtu kusema kitu halafu kikafanyika na watu wengine wakakiona kwa macho bila kupapasa.

20Sep 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

Wanafunzi wadahiliwe wakiwa wametimiza jumla ya alama 3.5, alama 3 au mbili! Ndicho kinachoendelea! Tukipandisha alama kufika 3.5 au kufikia 4 tutawaacha wengi, na hivyo kusababisha vyuo vikuu...

20Sep 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI dhahiri kuwa jinamizi la tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera, na mikoa jirani ya Mwanza, Geita na Mara na kusababisha vifo vya watu 17 na majeruhi 440, bado linaendelea kusumbua.

19Sep 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JANA timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, ilicheza dhidi ya wenzao wa Congo Brazaville Uwanja wa Taifa.
Ni mechi ya kwanza kusaka tiketi ya Fainali za Afrika kwa vijana hao...

18Sep 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

WANAKANADA ya Ziwa poleni na msiba wa janga la tetemeko la ardhi, ambalo limesababisha vifo, majeruhi, ulemavu na uharibifu wa mali zikiwamo nyumba hivyo wengi wamebaki bila makazi.

18Sep 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

WANAHABARI wamekuwa wakisubiria kwa muda mrefu sheria itakayowalinda na kuwapa fursa ya kuwa karibu na vyanzo vya habari na kulindwa kisheria wakati wa kupata habari.

17Sep 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya lisirikali kuwahi kupendekeza kupunguza mshahara wa mnene huko Ikuli ili kubana matumizi yasiyo na tija kwa kaya, nilihisi kama kuna ubaguzi.

17Sep 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ZAMANI, wacheza kandanda wa Tanzania walicheza kujifurahisha baada ya muda wao wa kazi. Waliajiriwa maeneo tofauti lakini kila siku jioni walijumuika kucheza kandanda katika timu mbalimbali.

16Sep 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KILA Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga anapotoa takwimu za ajali amekuwa akihimiza madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani kwa lengo la kuepuka ajali hizo.

16Sep 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

ILI kufanikiwa kwenye jambo lolote maishani na kulifanya vizuri ni lazima ujifunze, upate maarifa sahihi ambayo yatakuwezesha kuchukua maamuzi sahihi yatakayokuletea matokeo bora.

15Sep 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

Wabanguaji wa zao hilo waliwahi kukutana Kibaha, mkoani Pwani na kujadili ajenda tofauti ikiwamo mafanikio, changamoto na hali halisi ya zao hilo hasa soko la ndani na nje ya nchi.

Pages