SAFU »

29Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HUU ni msimu wa pili wa mashindano ya Kombe la FA hapa nchini, yanafanyika chini ya utawala wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi.

29Apr 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

KARIBU katika kila uteuzi hukosi kusikia daktari fulani ameteuliwa kuwa dingi kuongoza ofisi ya umma.

28Apr 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

NIMEKUWA ni mmoja wa watu walio na mtazamo wa upande unaoikubali dhana ya maendeleo kuwa na maana pale kunapokuwa na maendeleo ya watu na siyo ya vitu.

28Apr 2017
Faraja Ezra
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SUALA la vipigo wanavyopigwa wanahabari hivi sasa limekuwa mwiba mkubwa kwao, wakihofu kandika taarifa kwa uhuru.

28Apr 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

UNAPOANZISHA biashara na kupata wateja, kazi kubwa inayofuata, huwa ni kuhakikisha wateja wako unaendelea kuwa nao.
Yaani wanaendelea kufanya biashara na wewe.

27Apr 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO), Malaria bado ni ugonjwa ambao unaendelea kutishia maisha ya nusu ya watu ulimwenguni kote, huku bara la Afrika likiongoza kwa visa vya...

26Apr 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MGOGORO wa uongozi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) ulianza kama mzaha vile, lakini kadri siku zinavyokwenda ndivyo unazidi kuwa mkubwa hadi mikutano na vikao vya chama hicho kuvamiwa na silaha...

25Apr 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

WIKI iliyopita Benki Kuu ya Tanzania ilitoa Sh. bilioni 500 na kuzipa Benki za biashara ziweze kutoa mikopo kwa Watanzania ikiwa ni namna ya kuwezesha kuwepo kwa mzunguko wa fedha nchini.

25Apr 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

NIMEPATA mrejesho kutoka kwa wasomaji mbalimbali kuhusu makala niandikazo kusahihisha maneno yatumiwayo vibaya na waandishi au watu wazungumzavyo mitaani.

25Apr 2017
Faraja Ezra
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA kipindi kirefu sasa, tumekuwa tukitafuta ni kipi hasa sababu zinazochangia ongezeko la vifo vya kinamama wajawazito kuwepo kwa kasi zaidi nchini, katika baadhi ya maeneo hasa ya vijijini.

24Apr 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

ZAMANI wakati soka likiwa juu, timu za Simba na Yanga zikiwa na upinzani mkubwa uwanjani, mashabiki wa timu hizo walikuwa ni watani wa jadi.

24Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ZIKIWA zimebaki siku 26 ili msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwaka 2016/17 umazilike endapo ratiba ya ligi hiyo inayosimamiwa na Shirikisho la Soka nchini (TFF) haitapanguliwa, wadau wa soka...

23Apr 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

WANANCHI wengi wameona umuhimu wa kuchangia ujenzi wa majengo yanayotoa huduma za kijamii kwa kutoa mifugo, mazao na fedha.

Pages