SAFU »

28Jan 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

KUNA mjadala ulioniacha hoi hivi majuzi juu ya ukweli kuwa kama Bongolalaland kuna baa la njaa au hasha? Upande wa utawala unasema hakuna kitu kama hiki wakati wapingaji wanazidi kukoleza moto...

28Jan 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

USHABIKI wa waandishi wa magazeti ya michezo unaendelea kila uchao. Lengo ni magazeti yao yanunuliwe.

27Jan 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WABANGUAJI wa zao la korosho waliwahi kukutana Kibaha, mkoani Pwani na kujadili ajenda tofauti ikiwamo mafanikio, changamoto na hali halisi ya zao hilo hasa soko la ndani na nje ya nchi.

27Jan 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

TATIZO kubwa linalofanya watu wengi kutokuanzisha biashara au kukuza biashara zao, sio ukosefu wa mtaji bali ni uthubutu wa mtu mwenyewe.

26Jan 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

USALAMA wa chakula ni moja ya vigezo vikubwa vya maendeleo kwa taifa lolote lile.

26Jan 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

DAWA za kulevya ni vitu ambavyo hutumiwa kwa njia ya kunywa, kula au hata kujichoma.

25Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UCHAGUZI mdogo ukiwamo wa wabunge, madiwani katika kata 22 na wenyeviti wa Serikali za Mitaa ulifanyika Jumapili iliyopita huku Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiibuka na ushindi wa kishindo.

25Jan 2017
Richard Makore
Nipashe
Mjadala

UCHAGUZI mdogo uliohusisha kata 20 Tanzania Bara na jimbo la Dimani visiwani Zanzibar umekamilika na washindi tayari wametangazwa rasmi.

24Jan 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

LEO nazungumzia maneno yatumiwayo vibaya na waandishi wa magazeti ya michezo: ‘mashaka’, ‘Balaa’, ‘kufa mtu’, ‘pagawa’, ‘mzuka’, ‘kufuru’ na mengineyo.

24Jan 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

KWAMBA Geita ni madini na hakuna rasilimali au shughuli zingine za kiuchumi. Niliwasikia baadhi ya wananchi wanaojishughulisha na uchimbaji mdogo mdogo wa madini kule Geita wakilalamika, huku...

24Jan 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Mjadala

AJALI za barabarani zinazidi kuwa tishio kila siku kwa watumiaji wa vyombo vya moto, wanapokuwa barabarani. Ni hali inayogeuka tishio katika vyombo vya usafiri.

23Jan 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

RAUNDI ya tano ya Kombe la Shirikisho la Soka nchini (TFF), maarufu kama Kombe la FA liliendelea mwishoni mwa wiki.

23Jan 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SAKATA linaloikabili Congo Brazzavile la kuchezesha ‘kijeba’ kwenye mchezo wao wa kufuzu kwa fainali za Afrika dhidi ya Serengeti Boys linakaribia kufikia mwisho.

Pages