SAFU »

04Feb 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘UVUMI’ ni maneno yasiyokuwa na ukweli au uthibitisho na husambazwa kwa lengo fulani; minong’ono.

03Feb 2017
Jenifer Julius
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA namna yoyote ile baadhi ya watu mabaradhuli (mafataki) wanaendelea na tabia zao chafu za kuwaandama wasichana hasa walio masomoni na kufanya kila wawezalo kuhakikisha kuwa wanawaingiza kwenye...

03Feb 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

WIKI iliyopita tuliangalia kanuni tatu muhimu za fedha, ambazo ama mfanyabiashara wa ngazi yoyote au mtu mwingine, anapaswa azitumie ili maisha yake ya kifedha yaweze kumunyookea.

02Feb 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MATOKEO ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) uliofanyika Novemba Mosi hadi 18, mwaka jana yametolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta).

02Feb 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Mjadala

AMA kwa hakika “Ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firahuni.” Hiyo ni kauli ambayo Waswahili wengi wanaitumia katika sehemu tofauti, wanapogundua uwepo wa kitu kipya katika jamii, ambacho hakifai...

01Feb 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CHAMA Cha Mapinduzi CCM kwa sasa kinaendelea na makongamano yanayoelezea historia ya chama hicho, mafanikio na changamoto ambazo kimekumbana nazo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya...

01Feb 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Mjadala

TANGU uchaguzi mkuu ufanyike Oktoba 2015 na kuwachagua viongozi mbalimbali wakiwamo wabunge na wawakilishi katika majimbo nchini, kumekuwa na ukimya sana toka kwa viongozi wetu hawa.

31Jan 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UKITAJA sekta ya kilimo nchini kimsingi unakuwa unataja uti wa mgongo wa taifa, kutokana na sababu mbalimbali.

31Jan 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

TUJIULIZE kwa kweli kama mtaala uliopo, yaani maudhui yake yanafanana na mahitaji ya nchi iliyo katika mfumo wa uchumi wa soko huria na demokrasia ya vyama vingi. Pia kama una akisi mahitaji yetu...

31Jan 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

WAKATI nchi mbalimbali duniani zina shauku (hamu ya kutaka kupata kitu; tamaa ya kujua jambo) ya kujifunza lugha ya Kiswahili, vyombo vyetu vya habari vinakazana kukipotosha!

30Jan 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

HAKUNA straika yoyote wa Simba aliyefunga goli mwezi wa tatu sasa kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara inayoendelea.

30Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAPEMA mwaka huu, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi alimtangaza Salum Mayanga kuwa kocha mpya wa muda wa timu ya taifa, Taifa Stars.

29Jan 2017
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI makundi ya kigaidi ya Al Shabab na Boko Haram yakiendelea kuitikisa Afrika,

Pages