SAFU »

16Jan 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

TOFAUTI na wengi walivyodhania. Ligi ya Zanzibar inaonekana ni dhaifu, isiyo na mvuto kuliko Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

16Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUFUATIA matokeo mabaya katika michuano ya Kombe la Mapinduzi, tayari uvumi umeanza kwamba Yanga wanataka kumfukuza kocha wao Mzambia, George Lwandamina.

15Jan 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, Desemba 18, mwaka jana nilijadili hapa sekeseke zitokanazo na roho ya mitala(wake wengi).

15Jan 2017
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

WENGI tunaamini kuwa Rais wa nchi hawezi kutamka jambo la kisera kwa wananchi bila kufanyiwa utafiti na upembuzi yakinifu.

14Jan 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya kukosa ofa na kanywaji na njuluku za kununulia bangi kwa muda mrefu,

14Jan 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘UMBEYA’ pia ‘umbea’ ni tabia ya kutoa habari bila ya kutumwa au kuulizwa. ‘Udakuzi’ ni tabia ya mtu kuingilia mazungumzo ya watu wengine yasiyomhusu; udakiaji.

13Jan 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BIDHAA ya ngozi ni muhimu kwa kuwa ni malighafi ambayo inahitajika kwa ajili ya kutengenezea bidhaa mbalimbali kama vile mikoba, viatu, mikanda na bidhaa nyinginezo.

13Jan 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

WASOMAJI wapenzi wa safu hii ya kibiashara, leo hii tunaendelea na mada hiyo hapo juu, ambayo kimsingi hatukumaliza kuizungumzia wiki iliyopita.

13Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

UKOSEFU wa Kinga Mwilini (UKIMWI) athari zake zinaendelea kupoteza nguvu kazi ya taifa hasa kwenye nchi zinazoendelea ikiwamo Tanzania. Taarifa zinaonyesha kuwa, Virusi vya Ukimwi (VVU)...

12Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SENSA ya mwisho ya watu na makazi ya mwaka 2012 inaonyesha kuwa idadi ya Watanzania ni milioni 44.9, Tanzania Bara ikiwa na watu milioni 43. 6 na Zanzibar milioni 1.3, pamoja na mchanganuo...

12Jan 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mjadala

JUKUMU kubwa la Serikali ni kuhakikisha inakuwepo miundombinu imara ikiwemo barabara, shule, zahanati na mengineyo ili kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali zikiwemo za kuzalisha mali na...

11Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANGU nchi hii iingie kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa zaidi ya miaka 20 iliyopita, Watanzania wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kuanzisha vyama vya siasa na wengine kujiunga na vyama hivyo kwa...

10Jan 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UTOAJI mimba, tafsiri yake rahisi ni kitendo ambacho mwanamke mjamzito anakatisha uhai wa kiumbe kipya tumboni mwake, kwa kuharibu mfumo wake na kiumbe hicho kinatoweka.

Pages