SAFU »

19Dec 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni, Waziri wa Nishati, Dk.  Mernad Kalemani aliliagiza shirika la umeme nchini Tanesco kufikia makubalino haraka na kiwanda  cha kutengeneza nguzo za zege cha East Africa infrastructure...

19Dec 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni zimekuja habari njema za kupambana na maradhi hatari ya kifua kikuu (TB) kwa kutumia panya wanaofunzwa mahsusi kunusa na kugundua maradhi haya kwenye makohozi ya binadamu.

18Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘LALAMA’ pia ‘lalamika’ ni kitendo cha kutoa maelezo yenye hisia ya kutoridhishwa na jambo. Kitendo cha kutoa sauti ya kuumia. 

18Dec 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

TATIZO la mashabiki wengi wa soka nchini, hasa wa klabu za  Simba na Yanga ni kuishi kwa kukariri.
Hivi majuzi, Shirikisho la Soka barani Afrika (Caf), limetoa rartiba ya Ligi ya Mabingwa na...

17Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MIKOA ya majiji ikiwamo Dar es Salaam na Mwanza inapambwa kwa biashara mbalimbali zinazofanywa na wamachinga zikiwamo kuuza nguo, viatu na vyombo vya nyumbani ambazo wateja wake wengi ni watu wa...

16Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUAMBIANA na kushauriana kupo, lakini hawapo wa kusikiliza!

15Dec 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BADO kuna kilio kikubwa kinachohusiana na uwepo wa mfumo dume katika masoko ya jijini Dar es Salaam, ikiwa ni tatizo la muda mrefu sasa.

15Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mjadala

KUNA vyombo vya habari vingi jijini Dar es Salaam, vinavyoshuhudia viongozi wa serikali na wawakilishi wa jumuiya za kimataifa wakifanya usafi kuondoa taka barabarani, kuzibua mitaro na kusafisha...

14Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mjadala

NISEME kwamba, sisi wazazi tuwanusuru wanafunzi wetu wasiendelee kusoma katika maturubai, kwani serikali imeamua kutoa elimu bure kwa watoto wa Kitanzania, ili wazazi waweze kuwapeleka wanafunzi...

14Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CHANGAMOTO ambazo baadhi ya Watanzania wamekuwa wakikumbana nazo ni kuumizwa na wakati mwingine kupoteza maisha au kupata ulemavu wa maisha, kwa vipigo vinavyotokana na watu wanaoitwa ‘wenye...

13Dec 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ZIMEBAKI siku kadhaa kuifikia sikukuu za Krismasi na kumaliza mwaka 2017, kisha kuanza mwaka mpya wa 2018.

13Dec 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Mjadala

SERIKALI imeamua kutoa elimu pasipo malipo kuanzia chekechea hadi kidato cha nne.

12Dec 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KIMSINGI suala la wajibu wa wananchi kulipa kodi ni kama linaelekea kueleweka siku hadi siku.

Pages