SAFU »

25Feb 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

YU’WAPI mfumbuzi wa mshindi wa leo kati ya Simba na Yanga? Dakika 90 ndizo zitakazofumbua tambo za mashabiki zilizodumu kwa wiki kadhaa sasa.

24Feb 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUANZIA Januari hadi Novemba mwaka jana, Watanzania 2,994 walikuwa wamepoteza maisha kwa ajali za barabarani zilizohusisha mabasi, malori, magari madogo, bajaji na pikipiki za abiria ambazo ni...

24Feb 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mjadala

WIZARA ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, imesema kitendo kinachofanywa na Serikali ya Msumbiji cha kuwarudisha Watanzania ni halali na kiko kisheria.

23Feb 2017
Jenifer Julius
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NDOTO za binti wadogo zinakatishwa wakiwa hawajafikia hata robo ya ndoto zao huku watendaji wa uhalifu huo wakiendelea kuwa huru na kutimiza malengo yao kama kawaida.

22Feb 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiliwatimua wanachama wake 1,520 kutoka ngazi ya mashina, matawi, wilaya na mkoa kwa makosa ya kukisaliti chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015....

21Feb 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIMEAMUA kuandika barua hii kutokana na ushuhuda wangu wiki hii, kuhusiana na mabadiliko katika tabia ya watumiaji wa dawa za kulevya nchini.

21Feb 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

NILIPOSOMA mara ya kwanza kwenye gazeti kuwa, mwanamke mmoja mkoani Mara alipoona mahindi yaliyoko kwenye shamba la pamoja na mumewe yamekomaa na kufaa kuliwa, alichuma magunzi mawili na kukutwa...

21Feb 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

PANAPOKUWA na miti mingi aghalabu hapana wa kuitumia.

20Feb 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

TIMU mpya zitakazocheza Ligi Kuu msimu wa 2017/18 zimejulikana.

20Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LIGI daraja la kwanza imemalizika juzi ambapo timu tatu zimekata tiketi ya kushiriki Ligi Kuu Tanzania bara msimu ujao baada ya kuongoza kwenye makundi yao.

19Feb 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

TAKWIMU zinaonyesha kuwa vyanzo vikubwa vya ajali za barabarani ni ubovu wa miundomibunu ya barabara, ukosefu madhubuti wa udhibiti wa vyombo vya usafiri pamoja na matumizi mabaya ya barabara....

19Feb 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, leo niende mbali kidogo ya pale tulipoishia wiki iliyopita ambapo niliuliza swali kwamba kwanini mwanamke atenge watoto na baba yao? Nilitoa mfano wa kinababa wawili ambao kila...

19Feb 2017
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

KWA kipindi kirefu kumekuwapo na madai ya kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa vinara wa biashara ya madawa ya kulevya,

Pages