11 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Rais Museven na Joseph Kabila kutua Dar leo
 
2008-05-11 19:51:25
Na ITV Habari

Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais Joseph Kabange Kabila wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo watawasili Dar es Salaam leo kwa mwaliko wa rais Jakaya Kikwete.

Taarifa kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa imesema wakati wa ziara hiyo, viongozi hao watakuwa na majadiliano kuhusu masuala yanayohusu amani katika eneo la nchi za maziwa makuu na mambo mengine yanayozihusu nchi zao.

Marais hao wawili wanatarajia kuondoka leo baada ya kukamilisha ziara yao.

  • SOURCE: ITV
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.