11 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Wafanyakazi wa serikali wametakiwa kuthamini na kuheshimu nafasi zao
 
2008-05-11 19:48:29
Na ITV Habari

Makamu wa rais Dr. Ali Mohamed Shein amewakumbusha wafanyakazi wa serikali kujenga utamaduni wa kuthamini na kuheshimu nafasi za kazi wanazopewa na taifa kwa kutekeleza wajibu na majukumu yao ipasavyo.

Dr. Shein ametoa rai hiyo alipiokuwa akizunguza na wafanyakazi wa ofisi yake jijini Dar es Salaam na kuagiza viongozi wa idara mbalimbli katika ofisi yake kuitisha vikao vya mara kwa mara kuzungumzia utendaji na kujitathimini.

  • SOURCE: ITV
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.